Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna yenu ya kutetea ushoga inachekesha sana.Kuliwa kwake wewe kunakuathiri nini!?
Au ndo unajitafutia stress zakujitakia
Amekuomba msaada kwamba anataka kuacha? Au unataka kujifanya mwamba umsaidieIlikuwa tetesi lakini Sasa niemeanza kuamini. Mfanyakazi mwenzangu na rafiki yangu mara nyingi tuko nae kwenye maamuzi ya kiofisi kumbe ni upinde...
Ushajaribu sioBadala ya sie wamikoani ndo tushangae eti unashangaa wewe ambae kila siku mnapishana nao huko dasilamu mitaan
Kweli unaumwa maana hata ulichoandika hakielewek
Sijui watu wanalipendea nini jicho,mbona halina maajabu yoyote
Kwanza halina utelezi wa asili
Mbona tumesaini mikataba ya kulinda haki za binadamu na pesa tumepokeaNchi yangu Tanzania, najua tunatambua tamaduni zetu na asili yetu, Suala la mwanamme kumpanda mwanaume mwenzie halikubariki kijamii, wala kiutamaduni, suala hili ni laana na pia ni aibu kubwa,
Serikali Iepuke Kupokea Cash Baadaye Unaambiwa UmelipiwaKwani tamko rasmi la serikali kuu linasemaje ukiachana na matamko ya kila wizara?. mfano wizara ya afya inaelezea tu madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Pia wizara ya elimu inatoa sababu zake nazo ni za msingi kuhusu mambo ya ushoga