Nchi yangu Tanzania, najua tunatambua tamaduni zetu na asili yetu, Suala la mwanamme kumpanda mwanaume mwenzie halikubariki kijamii, wala kiutamaduni, suala hili ni laana na pia ni aibu kubwa,
Mambo haya yanavyoendelea ndio yanavuka mipaka hadi watoto wadogo kuanza kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na kudhalilishana, Najua taifa ili liende kuna baadhi ya mambo hayahitaji makelele mengi kwa kuwa siku hizi haki za binadam zipo kila sehemu na bado taifa langu ni changa tunahitaji kushikwa mkono na hayo mataifa yanayotetea huu uovu.
Hapa njia rahisi na yakuepuka haya matukio ilipaswa Kitengo maalumu kiandaliwe kwa ajili ya kudeal na haya matukio kimya kimya bila makelele wala miruzi mingi, jambo hili halitakiwi hata kuzungumziwa ila ipo namna ya kudeal nalo kimya kimya na likamalizika pasipokuwepo na makelele.
Itambulike tu kuwa kila taifa wanazonjia zao za kudeal na watu wavunjifu wa amani na wanaojificha nyuma ya kivuli cha watu fulani.
Kwa njia hii tutakuwa salama na haya yataisha ila makelele haya ya mitandaoni mda mwingine yanaonekana kama tunayapromote matukio ya kishenzi ya namna hii.
Watu wasiojulikana deal with this kwa amani ya Taifa letu.