Washughulike kwanza Ki-intelligensia na madada poa, wakiweza waende kwa makaka poa.Nchi yangu Tanzania, najua tunatambua tamaduni zetu na asili yetu, Suala la mwanamme kumpanda mwanaume mwenzie halikubariki kijamii, wala kiutamaduni, suala hili ni laana na pia ni aibu kubwa...
Nakubaliana na ww hapo kwenye upuuzwe tu.Hili suala serikali ikijiingiza kichwakichwa itaangukia pua. Huu mzigo wautupie kwa viongozi wa dini na mila, iwe ndio mdomo wa serikali kukemea uovu huo.
Ila changamoto kwa baadhi ya madhehebu yanye uhusiano na makao makuu yao yaliyoko ulaya wakipitisha maazimio ya kutambua haki za mashoga huku matawini hawana nguvu za kukemea.
Hakuna haja ya kukwaruzana na wafadhili kisa ushoga. Ushoga isiwe ni ishu kubwa bali upuuzwe tu kama upuuzi mwingine
Wewe ni yupi hapo?Kojoa ukalale...
Wasamehe hawajui walitendaloNyie ndio mnayapromote kuyapost
Serikali haiwezi kukurupuka kuanza kunyanyasa mashoga, huo ni udikteta na ni unafiki.
kuna watu wanakurupuka kutaka serikali iingie mkenge kuhusu ushoga, sijui ni wasomi wa wapi wasiojua mikataba ya kimataifa juu ya haki za binadamu. Vitu vingine kuvifahamu haihitaji elimu kubwa ya mambo ya kisheriaAmbacho watu wengi hatujui au tunajua lakini hatuna uelewa wa kisheria ni kua “kwa sheria zetu, Shoga ana haki kama mtu mwingine, maisha yake lazima yalindwe”
Pia tume afiki sheria nyingi za kimataifa kulinda haki ya msingi ya kuishi.
Navyojua hii agenda serikali haitakurupuka, inajua vizuri kabisa.
I hope tumeona kwa jirani jinsi kiongozi mkuu alivyowapiga chenga ya mwili wananchi juu ya suala hili!
Nipeni koneksheni,dar maeneo Gani wanapatikana Hawa,ahahahajjaTanzania hawa vijana wapo huru kuanzisha hadi party zao, wako huru kutembea na kufanya yote.
Uganda kinachoendelea sasa ni ndio dawa, msako umeanza washakamatwa wa kutosha na wamepelekwa jela. Huku kuna tu anairudisha nyuma serikali anasema haya ni mambo ya faragha, mambo ya chumbani serikali haipaswi kuingilia
Nina amini siku si nyingi serikali hii bora kabisa itafanya Jambo. Amini ipo siku, na kuna Id humu zitapotea maana watakua tayari ngome.
Video: juu uganda, chini Tanzania
View attachment 2547467View attachment 2547469
Hao wanataka nchi yetu ikose misaada burekuna watu wanakurupuka kutaka serikali iingie mkenge kuhusu ushoga, sijui ni wasomi wa wapi wasiojua mikataba ya kimataifa juu ya haki za binadamu. Vitu vingine kuvifahamu haihitaji elimu kubwa ya mambo ya kisheria