Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

kuna umuhimu serikali yetu ichukue hatua mapema, kizazi hiki kitaharibika kuliko hata vizazi vya ulaya. ujue wazungu huwa wanaharibika ila wanaharibikaga kisomi sana ila waafrika wakiamua kuharibika huwa wanaharibika mazima. Mungu linda kizazi hiki.
😃😃😃😃 ichukue hatua gani mkuu??
Unajua anaye fund hiyo movement yao inayopelekea ongezeko kubwa kwa sasa?

Kuna namna unatakiwa kuacha mengine yapite.... serikali have nothing to do ili hili swala liishe 😃
 
Huwa sipendelei sana kwenda sehemu ambazo wenyewe Watoto wa mjini huita kina-happen ile mbaya. Mimi hupendelea kutoka na kwenda sehemu tulivu. Maana sehemu hizo za kunapo-happen huwa ni shida tu na watu kujifanya tunajuana sana.

Weekend hii sababu ya mualiko wa rafiki yangu nikawa sina jinsi nikaenda ile pub moja pale sinza mori njia ya kutokea kwa kakobe ambayo ndio ina-happen sana kwa sasa(sitaitaja jina).

Kilichoshangaza zaidi kuwepo kwa vijana wengi Mashoga, niseme ukweli kwenda kwangu kote sehemu za starehe sikuwahi kuona idadi kubwa ile ya vijana Hawa Kama niliyoiona weekend hii. Na Cha ajabu kabisa hata mavazi yao wengi wamevaa ya kike kike.

Hawa vijana hawana hofu kabisa, ni wengi sana na muda mwingi hujipitisha pitisha kwa kubinua makalio mbele ya wanaume. Na mwingine niliona akienda kumkatikia mwenzie, wakawa wanabambiana. Wamejiremba na wengine wamepaka make-up.

Ni kina nani huwatongoza hawa na Kulala nao? Mbona sio kawaida? Huu wingi umetoka wapi? Mwenye hii bar sijui pub sijui lounge anakubali vipi hii sehemu kufurika hawa watu?
Wangetokea akina Kifimbo cheza wa mambo haya na kuwamaliza hawa huenda tungeepuka zahama.
 
Live live me nakopitaga sijawahi waona
Ila tiktok jamaniiii
Huwezi scroll video 5 usikutane na moja yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu mie.
 
kuna umuhimu serikali yetu ichukue hatua mapema, kizazi hiki kitaharibika kuliko hata vizazi vya ulaya. ujue wazungu huwa wanaharibika ila wanaharibikaga kisomi sana ila waafrika wakiamua kuharibika huwa wanaharibika mazima. Mungu linda kizazi hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol
 
Nimepitia comments nyingi watu wengi kwanza hawana ufahamu na haya masuala na elimu yake kwa ujumla hivo nalo ni tatizo kwenye jamii
 
Nikienda harusini magomeni nkakuta machoko kama wa5 yaani niliona kinyaa nkatamani kuondoka,tukaletewa ice cream kama kipashio mashoga ndo waletaji like shoga la kiarabu nkazuga naenda chooni sikupata baadae shoga angu niliyeenda nae akamuita mdada akaniletea
Inshort MUNGU ANISAMEHE ILA wale watu na Mimi hapanaa
Niko Tena kitchen party wakaja machoko walialikwa na Baadhi ya watu bi harusi akashika mic akasema Naomba machoko wote watoke ktk sherehe yangu sitaki laana tukasema afadhali wakatoka Kwa aibu wanatukaanaaa hao balaaa
Nachekaaaa nusu nizimieee hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila watu jaman khaaaah.
 
Wale wa pale Kitambaa Cheupe karibu wote ni wa kuwalipa na kufukua mtaro.

Ila kuna mashoga wenye pesa zao na si rahisi kuwadhani wanaliwa kisamvu cha kopo. Wana familia zao, wenye vyeo vyao, wafanyabiashara na kuna wimbi la watoto kutoka familia bora hawa wanakulipa uwafukue mtaro. Mbezi Beach wako wengi sana

Halafu kuna mashoga maarufu kama hawa akina James Delicious wa type hii huwa wanaliwa na watu maarufu kama wafanyabiashara, wanasiasa, viongozi wa dini na wasanii
Ukweli ndo huu sasa. Na mada ifungwe.
 
Back
Top Bottom