Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mleta madi pia naww ni shoga mnajaribu kuuongerea sana ushoga kla sku ili mtujengee tabia ya kuuona ni kawaida topic za ushoga zimekua nying mnataka tuone ni ushoga ni kawaida tu ni rahis tu

Ebu acheni pigo izo km nyie mmeamua kua mashoga why mtulazimishe na ss wengne kuona ni kawaida na mnataka kujadili ushetan wenu
 
Huwezi kuwajua hata kama anafanya hayo mambo ukikutana nao kuna mmoja ana mtoto tena wakiume lakini uho ndio mchezo wake ataki kuoa kisa kwamparange
Huyu ni Bdozen eeh?! Yule jamaa alikuwaga Clouds FM kipindi cha XXL akaja kutimuliwa sijui walikosana nini likaenda kwa Majizo, EFM... na nasikia huyo Majizzo analifira kisawasawa!
 
Mchungaji si anaambiwa samehe mara 7 sabini jamanii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kashindwa kusamehe
Ntakufa na bikra yangu ya tigo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo 7 mara 70 aliweza petro, yohana na jakobo , ila kuanzia yuda eskarioti mpaka sisi amna anaeweza hizo hesabu[emoji43][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kweli, upo sahihi. Kufirana na kuwekana ni vitu tofauti kabisa, vitenganishiwe.
Kufiraaa mwanamke na kufiraaa mwanaume imekuwa tatizo sana kwenye jamii na ni chukizo hilo. Kujitenga nao tunapo wakanya na kuwaonya
 
Jf ni kama safina linaingia Kila kitu , l mengi humu jf yanaandikwa aliyeleta hapa hajakosea pia,sio kua watu hawazuii huko mitaani Kuna wazazi wanaua watoto wao kimya kimya wakijua kama ni mashoga,wazungu wanapreach huo ushoga but deep down they are hurting mfano wale watoto Kylie na Kendal walilia sana baada ya baba Yao kuamua kubadili jinsia ila hawakua na namna
Kuna yule mzungu aliuliwaga na baba Ake miaka ya nyuma Kwa kua alikua gay

Hivi vitu in short vinashaangaza kiukweli how comes mwanaume kabisaa anamuingilia mwanaume mwenzake?!!!hiyo ni shida ya afya ya akili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakazia!

Hata wazungu sio wote wanaunga mkono haya mambo... wanachukia mno! Na wale watu ni bright sana! Wakiona jitu linajitangaza kuwa ni shoga watakuangaliaaaaa basi wataachana na wewe ila deep down watakuwa wamekudharau sana!
 
Back
Top Bottom