Kuna mchungaji aliishi na mkewe vizuri, na wakapata watoto kadhaa, yule mama mchungaji kuna michezo alikua anafanya wakati wa kujifungua hosp, mpaka pale shetani alipo mchoka, maana alitaka kumuelekezea kwenye trekta la kuni aka ghairi akamtupia kwenye gesi kabisa.
Siku ya siku ikafika mama mchungaji kwenda kujifungua mtoto mwingine wa tatu, siku hiyo haikua ya kawaida kwake kwani baada ya mapambano ya kimaisha ya kuhama hama akajikuta anaangukia kwenye kituo cha afya ambacho hakuna anaemfahamu na wana tabia tofauti na alio wazoea, yule mama akawa amesindikizwa na mama yake mzazi, mama mkwe wake, mdogo wake na mumewe mchungaji mwenyewe.[emoji15]
Baada ya kusubiri apatiwe huduma, ndugu hao wakawa wameketi karibi na chumba alichokua anapatiwa huduma, na humo ndani walikua watu kadhaa wanaoendelea na huduma, baada ya muda wale manesi watoa huduma wakapita wawili huku wanateta jambo japo ni kwa sauti " jamani ndio nini vile, yaani haya mambo ni uchafu kabisa, haiwezekani unamfanyia vile mkeo aiseee " wakiwa wanaendelea na safari yao, he baada ya muda anatoka nesi mwingine kama ana haraka akibaki mlangoni kama anachungulia akaomba msaada wa khanga hata mbili za karibu kuna mzazi anadharula, wale ndugu wakatoa khanga zao bila kujali anaenda kuhudumiwa nani.
Mda kidogo wanatoka wengine wawili wana soga " yaaani huwezi amini ukimuangalia anaonekana wa heshima sana ila hawafai kabisa, ndio nini vile, hujisikii kinyaaa ..... " Wale watu na watu wengine walio kua wanasubiri wazazi wao pale nje wakawa wanashindwa kuelewa hawa manesi wana nong'ona nini kila wakipita hapo.
Baada ya muda akaja nesi akamchukua mchungaji na mchungaji akamchukua mama mkwe wake wakaingia chumba cha daktari, kuumbe lile tukio ni lao, mama mchungaji amejifungua kwa taaabu sana na mtoto nusura atokee nyuma kwa jinsi palivyo oza, MZIKI ukaanzia hapo! Mchungaji hajawahi kula chakula hicho tangu amfahamu mkewe[emoji2962][emoji43][emoji848] aibu iliyo kuu kabisa ndoa ilivunjikia hapo hapo hosp
Haya mambo hayana mwanaume wala mwanamke ni aibu na dhambi