Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Unaoa wanawake wengi kujiepusha na balaa moja kumbe unakaribisha balaa lingine! Unakuja kugundua wake zako wanasaganaWatanzania wenzangu kuna haja ya kuwajibu hawa wazungo koko.
Turudi kwenye mila zetu za zamani.
Heri mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja na hii itaeleweka kwenye jamii.
Kuoa wake wengi ni bora na ni afya kwa jamii kuliko upuuxi wa kushabikia ushoga.
Sasa hili naliona ni lengo langu kuoa mke mwingine na baadaye wa tatu kama njia ya kuwapinga wazungu na ushiga wao.
Au mnaonaje wajameni?