Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kuna channel huko Twlegram.inaitwa VANILLA ni biashara kabisaa ya mashoga wa kibongo.

Nilijoin nikidhani ni promoter wa zao la vanilla. Nilikuta mavideo ya mashoga wa kibongp wakipakuliwa visamvu balaa. Ikasababisha niiondoe app yote ya tellegfam
 
Asante sana.

Kuna siku ukipata akili kasome Logic filtration, namna wazungu wanafanikiwa kueneza ajenda zao Afrika. Nataka nikuulize, kwanini Afrika ushoga unakuwa kwa kasi wakati ndio ukanda ambao Ushoga unapingwa vikali?

Ukiweza kinijibu, njoo urudi hapa ukiwa kwenye calm minds, mnakurupuka ndio mana wanawashinda.
Kuna maeneo "yanayopinga ushoga vikali", sio Afrika ila ni nchi za mashariki ya kati...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna channel huko Twlegram.inaitwa VANILLA ni biashara kabisaa ya mashoga wa kibongo.

Nilijoin nikidhani ni promoter wa zao la vanilla. Nilikuta mavideo ya mashoga wa kibongp wakipakuliwa visamvu balaa. Ikasababisha niiondoe app yote ya tellegfam
Usiombe uingie pamoko ! unaweza hisi upo jehanamu
 
Kuna channel huko Twlegram.inaitwa VANILLA ni biashara kabisaa ya mashoga wa kibongo.

Nilijoin nikidhani ni promoter wa zao la vanilla. Nilikuta mavideo ya mashoga wa kibongp wakipakuliwa visamvu balaa. Ikasababisha niiondoe app yote ya tellegfam
Mbn nime search amna
 
Hapo Kimboka wengi huwa wanakuja kuopoa Dada poa ndio maana mna vijigest uchwara vya short time ila jambo la ajabu na la kukera ni pale nataka kuopt demu wakwenda nae ghafla naona Dume jenzangu limejipanga kwenye mstari wa mademu na lenyewe linajiuza

Ebu litoeni bhana linatia kinyaa, halafu ni mtoto mdogo tu sijui kwanini mnashindwa kumchapa hata fimbo, juzi nilienda kumwambia ukweli aondoke anatudharirisha lakini cha ajabu madada poa wote wakawa wananitukana mpaka ving"asti vya pale vinamtetea yani kidogo nichapike maana nikaona kamebeba chupa ya konyagi kakanipiga mgongoni nyingine kidogo inipate kichwani

Sasa kama mnashindwa kumtetea mteja wenu wa pombe badala yake mnalitetea hilo shoga sijui akili zenu Zipo Sawa Sawa. Acheni mambo ya ajabu huyo shoga kwani hana pakwenda mpaka ajiuze sehemu za wanawake???.

Halafu kisumbufu kweli yani utakuta umetulia zako unakunywa bia kanakuja kuomba ukanunulie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yani Dume lenye kengere zake nilinunulie bia. Ukilikatalia linaomba ukalipakue short time kwa buku tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani tigo unapata Kwa bei ya buku tatu, ukilikataa linakutukana
 
IMG_4206.jpg
 
Back
Top Bottom