Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hapo kimboka wengi huwa wanakuja kuopoa Dada poa ndio maana mna vijigest uchwara vya short time ila jambo la ajabu nalakukera ni pale nataka kuopt demu wakwenda nae ghafla naona Dume jenzangu limejipanga kwenye mstari wa mademu nalenyewe linajiuza

Ebu litoeni bhana linatia kinyaa, halafu ni mtoto mdogo tu sijui kwann mnashindwa kumchapa hata fimbo, juzi nilienda kumwambia ukweli aondoke anatudharirisha lakini cha ajabu madada poa wote wakawa wananitukana mpaka ving"asti vya pale vinamtetea yani kidogo nichapike maana nikaona kamebeba chupa ya konyagi kakanipiga mgongoni nyingine kidogo inipate kichwani

Sasa kama mnashindwa kumtetea mteja wenu wa pombe badala yake mnalitetea hilo shoga sijui akili zenu Zipo Sawa Sawa. Acheni mambo ya ajabu huyo shoga kwani Hana PA kwenda mpaka ajiuze sehemu za wanawake???. Halafu kisumbufu kweli yani utakuta umetulia zako unakunywa bia kanakuja kuomba ukanunulie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yani Dume lenye kengere zake nilinunulie bia. Ukilikatalia linaomba ukalipakue short time Kwa buku tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani tigo unapata Kwa bei ya buku tatu, ukilikataa linakutukana
Kataa ndoa
 
ipo namna wenye mamlaka husika inatakiwa wafanye jambo,nchi yetu hairusu ushoga lakini hakuna sehemu ambayo imekemea kuhusu ushoga,yaani hatusupport ushoga ila hatuukemei,,

Namna nyingine ni kama hawasupport ila hawakatazi,,
manaake hawasupport direct ila wanasupport indirect

 kwa wataliban huwezi kusikia huu ujinga
 
Hapo kimboka wengi huwa wanakuja kuopoa Dada poa ndio maana mna vijigest uchwara vya short time ila jambo la ajabu nalakukera ni pale nataka kuopt demu wakwenda nae ghafla naona Dume jenzangu limejipanga kwenye mstari wa mademu nalenyewe linajiuza

Ebu litoeni bhana linatia kinyaa, halafu ni mtoto mdogo tu sijui kwann mnashindwa kumchapa hata fimbo, juzi nilienda kumwambia ukweli aondoke anatudharirisha lakini cha ajabu madada poa wote wakawa wananitukana mpaka ving"asti vya pale vinamtetea yani kidogo nichapike maana nikaona kamebeba chupa ya konyagi kakanipiga mgongoni nyingine kidogo inipate kichwani

Sasa kama mnashindwa kumtetea mteja wenu wa pombe badala yake mnalitetea hilo shoga sijui akili zenu Zipo Sawa Sawa. Acheni mambo ya ajabu huyo shoga kwani Hana PA kwenda mpaka ajiuze sehemu za wanawake???. Halafu kisumbufu kweli yani utakuta umetulia zako unakunywa bia kanakuja kuomba ukanunulie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yani Dume lenye kengere zake nilinunulie bia. Ukilikatalia linaomba ukalipakue short time Kwa buku tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani tigo unapata Kwa bei ya buku tatu, ukilikataa linakutukana
😰Dunia kwisha
 
Kwa hali inavyoendelea ,mpaka kufika 2030, Taifa litakua na Kizazi ambacho Ushoga ni sehem yake ya Kila siku, Mapenzi ya Jinsia Moja ni suala la kawaida kabisa.

Mimi Huwa nashangaa, kwanin Suala hili la Ushoga ,Mapenzi ya Jinsia Moja Kwa ujumla wake LGBT , Serikali Inakua nalo kigugumizi??.Kwanini??.

Kwanini mnahitaji Tamaduni za Mataifa ambayo yameshashindwa, Mataifa ya Kishetani ,ndio yaendeshe Tamaduni za Nchi yetu.??.

Kwanini Mnaruhusu Uingizwaji wa Tamthiliya , na filamu kutoka Nje ambazo Zina maudhui 100% ya kuwafunza watoto wetu kua Ushoga ni sehem ya Maisha yao??

Kwanini Mnaruhusu Mitandao ya Kijamii , ipromote Ushoga na LGBT Kwa ujumla wake ili hali tunafaham Kwa Sasa watoto Wana access na Mitandao hii?.

Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, upo tuuu , unakodoa macho ,huku Kuna filamu na tamthiliya Toka nje, zinaingizwa Kwa makusudi kabisa kuwaharibu watoto wetu ?.

TCRA, mpoo tuuu huku maudhui yanayo promote LGBT yakiendelea kutamalaki mitandaoni ??.

Hili Suala lazima tulibebe kama " Tatizo letu sote kama Taifa" , linalohitaji "Utatuzi wa Pamoja kama Taifa".

Wizara husika ,ikiwemo Wizara ya Katiba na Sheria, lazima zijitanabaishe waziwazi kisera juu ya hili swala na zifanye kazi kwa kushirikiana .

Kama tutaendelea kuchekeana, basi Miaka 20 ijayo, tutakua na taifa linalonuka kinyesi ,Taifa ambalo hatutakua na Vijana wakiume , Taifa lilojaa USHOGA, Mapenzi ya Jinsia Moja n.k .

RAI yangu Kwa WAZAZI, Waleeni watoto, walindeni watoto, msiwaache watoto wajilee.

Viongozi wa Dini, Rudini kwenye misingi ya Kiungu ,Mungu wa Kweli, Muumba Mbingu na Nchi.
Ni Lazima tulinde Tamaduni zetu, ni lazima tulinde Utu wetu , Lazima tulinde vizazi vyetu .

Hapa Duniani tunajinsia mbili tu.

Jinsia ya Kiume... Na Jinsia ya Kike na Hawa pekee ndio waotakiwa kujaamiana kama iliyoamuriwa na Si vingenevyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeni kwa kuteseka
 
Hii kitu nowdays imekuwa kama kuvuta bangi tu na tunajua namna watu wanavilindana kuwaficha polisi kuwafichua watu wanaotumia madawa a kulevya.

Kwahyo ushauri wangu kwenye kila familia kuwepo na kuchunguzana na kukemeana vilivyo kuhusu ushoga kabla ya serikali kuingilia kati, lakini tofauti na hapo ni ujumbe mzuri ndyo ila familia na jamii ndyo kila kitu kinaweza kutokomeza hii ishu kabla ya serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushoga na usagaji ni ruksa.
Poleni kwa kuteseka. Lol
 
Asante sana.

Kuna siku ukipata akili kasome Logic filtration, namna wazungu wanafanikiwa kueneza ajenda zao Afrika. Nataka nikuulize, kwanini Afrika ushoga unakuwa kwa kasi wakati ndio ukanda ambao Ushoga unapingwa vikali?

Ukiweza kinijibu, njoo urudi hapa ukiwa kwenye calm minds, mnakurupuka ndio mana wanawashinda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawajui hilooo. Badala watumie akili wanatumia hisia, ndo wanapokwamaaaa.

Bongo bhanaaa lol
 
Kuna channel huko Twlegram.inaitwa VANILLA ni biashara kabisaa ya mashoga wa kibongo.

Nilijoin nikidhani ni promoter wa zao la vanilla. Nilikuta mavideo ya mashoga wa kibongp wakipakuliwa visamvu balaa. Ikasababisha niiondoe app yote ya tellegfam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo tyuuh, useme ni member mkuu wa kulee, khaaah
 
Back
Top Bottom