Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mashoga mnajimilikisha kila kiu. MMECHUKUA UPINDE WA MVUA TUMEWAACHIA, MMECHUKUA IPHONE TUMEWAACHIA.mwisho wa siku mtasema kula kiporo cha wali maharage na chai, ni ushoga.
Yamejimilikisha hadi wapinga ushoga.

Yana kauli yao eti wapinga ushogo ndio mashoga wenyewe yanadhani watu wataogopa kuyapinga

Na wiki hii yamecharuka sana humu mitandaoni baada ya kuona yule mwenzao wa Zanzibar anazodolewa kila kona
 
Wapo wengine wanajenga barabara nzuri sana sote tunapita humo, wengine wanatengeneza magari mazuri sana nasi tunayanunua, na wengine wanazalisha nguo still tunazivaa, hii vita ni ngumu ndugu zangu
Mtu unanunua bidhaa sio mikundu yao niongee kwa lugha ya kueleweka

Sisi tunanunua iPhone bidhaa halali kabisa sio mikundu yao

Masukani tunaenda kununua IPHONE SIO MIKUNDU YAO
 
Dini zililetwa na wazungu na tukazipokea kwa mikono miwili

Wa Afrika tulikuwa na mila na tamaduni zetu

Usitake kujificha kwenye kichaka cha dini Zilizoletwa na wazungu Afrika

Mababu zetu hawakuwa na dini ya mzungu, Walifanya mambo kwa tamaduni zao

Wewe umeshapokea dini ya mzungu, Afrika hakukuwa na hizo dini za mzungu

Kama baadhi ya wazee wetu walivyopigana dini zisiingie Afrika ndio sasa kuna kundi linapinga ushoga usiingie Afrika

Kumbuka dini zili ingia kwa kutoa misaada kama nguo Afrika

Unawezaje kuzuia ushoga wakati unakula misaada ya mashoga na una promote bidhaa zao kwa kununua
hata huyu mzugu dini kapelekewa na paulo
 
Kwahiyo Job aligundua IPhone kishoga shoga ili watumiaji wawe mashoga ?
Kama shoga upo ndani ya simu unayonunua Sawa.
Then acha kucopy na kupaste
 
Kuukataa ushoga kusitutenge na maendeleo ya dunia.

Self awareness
skills ni siraha nzuri dhidi ya ushoga
 
eti wapinga ushoga ndio mashoga wenyewe yanadhani watu wataogopa kuyapinga
Hii imethibitishwa kwa mujibu wa SAYANSI ZA SAIKOLOJIA kwamba wapinga ushoga wengi ni MASHOGA WANAOJIKATAA.

Hii inaitwa SELF-PROJECTION OF SELF-HATE.

Kama kuna MWANASAIKOLOJIA HUMU atakiri ninachokisema kwamba ni KWELI TUPUU.

Ukiwachunguza wengi wa WAPINGA USHOGA unawakuta wana MIKUNDU WAZI imeachama MWAAAAAHH!!!

Hapo ndo utajua hujuii!!
 
Huna kosa ila umeunga mkono wiziii bila kujua.

Hata kama haujui kuwa unaunga mkono lakini ndio umeshaunga mkonoo.

Haijalishiii. Kuunga mkono ni kuunga mkono, uwe unajua au haujuii lakini ndio umeunga mkonooo na matokeo yake ni halisii.


Mimi Kupanda gari lake na wizi wake mimi vinanihusu nini??-- ingalikuwa kupanda gari lake kunamfanya awe mwizi zaidi hapo kupanda hilo gari ndio ingekuwa kosa.

Hivyo ushoga wao na mimi kununua bidhaa zao hakuna mahusiano yoyote, kama neno iphone ni kirefu cha LGBTQ hapo ndio ingekuwa hoja.
 
BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI NI MASHOGA. Unawezaje kusema kampuni sio ya mashoga?

The top authority of the company wanaunga mkono ushoga kwa DHATIIIII na wanashirikiii kwenye vitendo hivyoo kwa uwaziiiii.

Unahitaji miwani ganii kubainii kwamba APPLE ni LGBT Champions???

Na ingependeza kama wangeweka LOGO YA UPINDE kwenye zile simu ili wawabamize vizuri.

Na ukiwasha simu ukutane na madume yanabusiana na kulana denda kama ile mikono ya kwenye NOKIAA.
Kuwa wamiliki mashoga kuna uhusiano gani na bidhaa ? Hiyo mitabia yake mwenyewe

Ajira humo.utakuta kwenye hiyo kampuni wako hadi walokole na waislamu swala tano mainjinia wa kutengeneza simu

Wao kazi yao nzuri kabisa kutengeneza simu na kuziuza sio mashoga wala hawana mpango nao

Tajiri wa Malori akiwa Shoga unadhani na madereva ni mashoga? Na wanaokodi hayo.malori kubeba mixigo bandarini ni mashoga?

Mimiliki akiwa shoga kwa hiyo na simu yake ni shoga?
 
Unaweza ukamchukia jambazi halafu ukafurahia fedha alizopora kwa kuua?
Una ushahidi kuwa kapata kupitia ujambazi?

Huyo wa Iphone ni bilionea mkubwa duniani biashara anayojulikana nayo kumpa huo ubilionea ni kuuza simu zake za Iphone sio kauuza makalio na wala makalio yake sio yanayotengeneza hizo simu

Kaangalie sababu ya utajiri wake

Hayo ya kusema shoga ni yake mwenyewe

Sheria ya biadhara inatenganisha kati ya biashara na mtu binafsi

Kuna hadi ule msemo wa kiswahili kuwa mimi nakujua sana wewe lakini biashara yangu haikujui.Biashara ya iphone haimujui bosi wake kama shoga inajiuza yenyewe.dunia nzima kama chema chajiuza
 
Nimesema hivi: kama kuwa shoga ingekuwa ni sharti la kuajiriwa, hoja yako ingekuwa na mashiko.
Lakini kama hata mlokole anaweza kuajiriwa pale, basi ushoga ni tabia binafsi ya wafanyakazi
Mwisho: Naomba uthibitishe kuwa Bodi ya wakurugenzi wote ni mashoga; weka link hapa tusome?
Logo ya Apple ilikuwepo hata kabla ya ushoga hivyo usi ihusishe!
Then ni kampuni ya muda mrefu sana
 
Una ushahidi kuwa kapata kupitia ujambazi?

Huyo wa Iphone ni bilionea mkubwa duniani biashara anayojulikana nayo kumpa huo ubilionea ni kuuza simu zake za Iphone sio kauuza makalio na wala makalio yake sio yanayotengeneza hizo simu

Kaangalie sababu ya utajiri wake

Hayo ya kusema shoga ni yake mwenyewe

Sheria ya biadhara inatenganisha kati ya biashara na mtu binafsi

Kuna hadi ule msemo wa kiswahili kuwa mimi nakujua sana wewe lakini biashara yangu haikujui.Biashara ya iphone haimujui bosi wake kama shoga inajiuza yenyewe.dunia nzima kama chema chajiuza
Na mabegi ya upinde wa mvua yanajiuza yenyewe

Tambua hao mashoga ndio washika hatamu na watoa misaada

Mashoga wanahodhi teknolojia dunia

Mashoga ndio wana sayansi wakubwa na wataalamu

Watengenezaji I phone ndio hao wanapata pesa kutoka bidhaa zao na kueneza ushoga

Kataa iPhone, kataa ushoga
 
Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga

Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee

Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao

Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone

Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo

Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone

Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga

Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Kumbe IPhone zinapatikana kama msaada tu ama mie ndio sielewi?
 
Kwa vile shoga anatengeneza iPhone ili kuwapinga bas tuzikimbie iPhone?
Ok Kwa vile shoga yupo duniani na anavuta pumzi basi tuikimbie dunia tukaish jupita,, na pumzi hii tunayo share na mashoga tusivute Anza mleta mada usivute pumzi sababu unavuta pumzi tunayo share na mashoga ukivuta basi unasapoti ushoga
Si ndio maana ya kupinga ushoga ni kuacha kutumia wanacho kitumia?
 
Back
Top Bottom