Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Point yako mbona haina relation ya kifiro na iphone [emoji3]. Wafanyakazi wote wa apple ni mashoga? Yani tusitumie product fulani kisa tu mwanzilishi alikuwa shoga, ama walitangaza hizo iphone ni kwa ajiri ya mashoga[emoji3][emoji3] tafuta namna nzuri ya kuconnect mawazo yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]unataka kuniambia hizi simu za i4n vile watoto wanabadilishana nazo kwa marinda kwamba kuna kakitu mashoga wamekatega wakati wanazitengeneza ndo kanawafanya walegwe jicho kwa mstari...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mnanichekeshaaa.
 
Hizo amri kumi zinapatikana kwenye dini utaitaje kuwa dini ni mpango wa mwanadamu
Hizo amri 10 za Mungu hazipatikani kwenye dini. Zinapatikana kwenye Biblia. Mungu hana dini wala Yesu hana dini.
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, ni sehemu ya kupata mafundisho tu ila dini yako haikupeleki mbinguni. Ndiyo maana hapa kuna dini nyingi na madhehebu mengi.
Adamu, eva, na Ayub walikuwa dini gani? Yesu ni dini gani?
 
Wapo wengine wanajenga barabara nzuri sana sote tunapita humo, wengine wanatengeneza magari mazuri sana nasi tunayanunua, na wengine wanazalisha nguo still tunazivaa, hii vita ni ngumu ndugu zangu
Boraaa uwaambie hawa watu waeleweee.
 
Kwani ukirudi kwenye computer Microsoft ya Billgates si ndio huko alikotokea Stive Jobs wa Apple?

Utakimbia Facebook na WhatsApp? Mark anaunga mkono ushoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu ambacho Nina uhakika Watanzania wengi hawakijui hata hapa JF wengi wala hawajui kwamba mfiraji naye ni shoga.

Watanzania unapoongelea mashoga taswira yao wanaijenga kwa watu kama Juma Lokole kumbe si kweli, wafiraji pia wanatambulika kama mashoga.

Huwezi kushinda vita yoyote bila kujuwa nguvu ya Adui yako.

Watu majeuri kama Donald Trump wamechemka na wamemuondowa kwenye Urais.
Wafungue akili hawa watu. Hawana uelewa kabisaa yaan lol
 
Wakati nwingine muache ujinga. Hao wanaojitangaza kuwa ni mashoga mmewahi kuwaona wakifanywa na wanaume au wanawake wenzao. Wazungu wanatuchezea sana akili. Na kwa sababu wanajua waafrika ni viumbe wa hovyo huenda wanafanya propaganda wakijua kuwa tutaiga huo ujinga. Wanaojitangaza kuwa ni mashoga ni vizuri tungeona hata video zao wakitifuliwa kisamvu.
Na wanajua kuwachota akili wa Africa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo sio kutengeneza hizo bidhaa tatizo lipo kufanya huo ushoga hivi ukiambiwa ufanye hiko kitendo utajisikiaje?
 
Hoja yako ni dhahiri unatulazimisha tuukubali ushoga ambapo ni hatari,misaada tunapewa haina masharti ,bidhaa tunazotumia hazi fungamani na uchafu wanaoufanya ni ya kwao sisi tamaduni zetu hazibadiliki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mr kwenye hili hamchomoi.
Mmekamatwaaa kila angle, hutaki ushoga, ila products za Shoga unatumia???

Eeeeeh??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu unanunua bidhaa sio mikundu yao niongee kwa lugha ya kueleweka

Sisi tunanunua iPhone bidhaa halali kabisa sio mikundu yao

Masukani tunaenda kununua IPHONE SIO MIKUNDU YAO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo ulie jamaniiiiiii. Wee endeleaaa kufurahia products za shogaa. Emu relaaaaaaaxxxxxx
 
IMG_0979.jpg

Mheshimu huyu mzee.

Kuna wa kufokolewa lakini sio huyu,kwa jinsi alivyokuwa busy kuumiza kichwa lini angepata muda wa kiwaza kuchimbwa???jobs ni mwanamume kamili.
 
Back
Top Bottom