Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Watu mjini wanapata hela za ovyo nini watumie zaidi starehe, hichi ndicho chanzo, kila mtu akiwa na chanzo bora cha kupata hela ushoga utaisha
 
Ilikuwa tetesi lakini Sasa niemeanza kuamini. Mfanyakazi mwenzangu na rafiki yangu mara nyingi tuko nae kwenye maamuzi ya kiofisi kumbe ni upinde.

Nimeugua Leo siku nzima kuambia kampangishia maeneo ya Sinza mwanamme ambae namfahamu na mara usiku Huwa anaenda pale kuliwa. Naumwa wadau.

Leo hata kushikana nae mkono nimeshindwa. Hari ni tete jamanii.

Nimeletewa ushahidi wa kutosha.

Kuna nae jua njia ya kumsaidia aache?
 
20230306_180703.jpg
 
Ilikuwa tetesi lakini Sasa niemeanza kuamini. Mfanyakazi mwenzangu na rafiki yangu mara nyingi tuko nae kwenye maamuzi ya kiofisi kumbe ni upinde...
Ili useme unamsaidia,je yeye anaona kama hilo ni tatizo kwake ? Kama haoni kuwa ni tatizo huo msaada wako ni matumizi mabaya ya akili na nguvu. Endelea na maisha yako akiliwa yeye,wewe inakuhusu nini?
 
Back
Top Bottom