Tanzania hawa vijana wapo huru kuanzisha hadi party zao, wako huru kutembea na kufanya yote.
Uganda kinachoendelea sasa ni ndio dawa, msako umeanza washakamatwa wa kutosha na wamepelekwa jela. Huku kuna tu anairudisha nyuma serikali anasema haya ni mambo ya faragha, mambo ya chumbani serikali haipaswi kuingilia
Nina amini siku si nyingi serikali hii bora kabisa itafanya Jambo. Amini ipo siku, na kuna Id humu zitapotea maana watakua tayari ngome.
Video: juu uganda, chini Tanzania
View attachment 2547467View attachment 2547469