Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Museven anaukaribia mwisho wake na anajua hilo. Na yule mwanae pia.

So haoni shida kufanya lolote maana hana la kupoteza.
 
Tanzania hawa vijana wapo huru kuanzisha hadi party zao, wako huru kutembea na kufanya yote.

Uganda kinachoendelea sasa ni ndio dawa, msako umeanza washakamatwa wa kutosha na wamepelekwa jela. Huku kuna tu anairudisha nyuma serikali anasema haya ni mambo ya faragha, mambo ya chumbani serikali haipaswi kuingilia

Nina amini siku si nyingi serikali hii bora kabisa itafanya Jambo. Amini ipo siku, na kuna Id humu zitapotea maana watakua tayari ngome.

Video: juu uganda, chini Tanzania
View attachment 2547467View attachment 2547469
Iombe serikali iwakamate malaya na walevi wote Mbona ni yale yale tu.
 
♨️USHOGA UMEINGIA TANZANIA⁉️


🌐Na :Shujaa©️®️Ⓜ️


Ni ukweli kwamba Sheria za Tanzania na Katiba ya Tanzania inapinga maswala ya Ushoga na Mapenzi ya watu wa jinsia moja ila ni wazi na dhahiri kivitendo kuwa Viongozi wa Serikali ya Tanzania na Serikali yenyewe wanasapoti vitendo vyote vya Wapenzi wa jinsia moja kutokana na kuruhusu viashiria fulani vinavyoonesha uwepo wa vitendo hivyo


1️⃣Serikali yenyewe kuthibitisha Uwepo wa Mapenzi ya watu wa jinsia moja pamoja vitendo vya ushoga kuongezeka zaidi Tanzania


Kuna wakati fulani Serikali ilisema tatizo la mapenzi ya watu wa jinsia moja (ushoga na usagaji), ubakaji na ulawiti ni kubwa nchini Tanzania na kuwataka watu kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola ili hatua za kisheria zichukuliwe.


Na Viongozi wenyewe wa serikali wamethibitisha kuwepo kwa shinikizo kutoka nchi za Magharibi la kutaka jamii ikubali ushoga na ndoa za jinsi moja kama haki za binadamu, nchi 38 kati ya 54 za Afrika zinapinga suala hilo. ( Serikali yasema tatizo la ulawiti na ubakaji ni kubwa Tanzania )


Hii ndio sababu ya Nchi yetu kushindwa kuwawajibisha watu wote wanajihisisha na vitendo hivyo wakihofia kukosa misaada na kushtakiwa katika jumuiya za kimataifa kwa hicho wanachokita haki za binadamu


Kitu pekee wanachoweza kufanya serikali ni kutishia tu watu na kuonekana wanakemea vitendo hivyo bila kuchukuliwa hatua stahiki na ndio sababu ya tatizo hili kushamiri sehemu nyingi za nchi yetu kwa kasi


Ubaya uliopo ni kwamba ikiwa atasimama Rais asiye na hofu ya Mungu, ni rahisi kuruhusu vitendo hivi vichafu kutokana na mianya ya mikataba mibovu ya kisheria waliyoingia serikali yenyewe ya kuruhusu haki za wapenzi wa jinsia moja kama masharti ya mikataba hiyo




2️⃣ Kuwepo kwa bendera za LGBTQ (Wapenzi wa jinsia moja) katika Hospitali Kubwa za Kidini na Kiserikali Bila Serikali kupigwa Marufuku


Mfano mzuri na wa rahisi, wa kuangalia ni katika hii Hospitali ya yenye hadhi Kimkoa iliyopo singida ,

hospitali ya Mwenye heri Yoseph alamano Makiungu ilikuwa hospitali ya wilaya lakini kwa sasa wameifanya iwe hospitali ya Mkoa ndio inahusika kuruhusu Umoja wa nchi yetu ya Tanzania na Umoja wa wapenzi wa jinsia moja ambapo imepelekea kuwepo kwa bendera yenye rangi za Upinde wa mvua ambayo ni bendera ya huu umoja wa Wapenzi wa jinsia Moja (LGBTQ) ambayo imening'inizwa nje na ndani ya Geti la kuingilia hospitali ikiwa zinapepea pamoja na bendera ya nchi yetu ya Tanzania kama inavyoonekana katika video clip mojawapo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii (Angalia video hiyo hapo chini )




Kuonesha Serikali yetu inasapoti hili, pamoja na kuwepo na ushahidi wa video zinazoonesha Hospitali hiyo kupepea bendera ya mashoga na wasagaji pamoja bendera ya nchi yetu, lakini bado hakuna hatua zozote za nchi yetu kupiga marufuku hiyo ya kuzuia bendera hiyo kupepea katika ardhi ya nchi yetu


Inasemekana Ujenzi wa Jengo la Hospitali hiyo ya Makiungu ni jengo lililojengwa na msaada wa wafadhili kutoka nje ya nchi wanaohusika wana kuhamasisha Mapenzi ya watu wa jinsia moja, na hii ndio moja ya masharti waliyopewa ili kupata ufadhili huo


3️⃣Kuwepo kwa ripoti nyingi na za wazi za vitendo vya Mapenzi ya watu wa jinsia moja bila kufanyiwa kazi na kutolewa hukumu za adhabu dhidi ya hao wanaofanya vitendo hivyo


Ndani ya Tanzania kumekuwepo na ripoti nyingi za kesi za hawa watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, ya Kishoga na kiusagaji ambazo H

hakuna hata kesi moja iliyowahi kuhukumiwa sawa sawa na kanuni ya adhabu ya Tanzania kwa mtu anayekutwa anafanya mapenzi ya jinsia moja


Hakuna rekodi yeyote,popote ya mtu yeyote aliyeripotiwa kuhukumiwa adhabu kutokana na vitendo hivi vya mapenzi ya jinsia moja, pamoja na kuongezeka kwa kasi watu wanaofanya vitendo hivi


Mfano hapa majuzi,mwezi 2, 2023 kumekuwepo na kusambaa kwa video ya Askari mmoja wa Zanzibar ambaye anaonekana kushiriki hivi vitendo vya ushoga, ambapo inaelezwa kuwa bado jeshi la polisi zanzibar linaendelea na uchunguzi kadhaa kama kufanya vipimo ili kubaini ikiwa kweli anajihusisha na vitendo hivyo...


Ila tatizo lililopo sio kwamba taarifa za kesi za namna hii hazipo mahakamani ila zinaishia juu kwa juu na hautaona hatua zozote za kinidhamu au kisheria zikichukuliwa na ndio maana tuna ujasiri wa kusema Serikali inaruhusu vitendo hivi kwa kushindwa kuwawajibisha ipasavyo wahusika wa vitendo hivi kwa hofu ya kuonekana watavunja mikataba yao ya haki za binadamu walizo saini


Hivyo kama wananchi ni wajibu wetu kupaza sauti kukemea uchafu na vitendo hivi kwa wazi na kuitaka serikali kuweka mkazo katika kusimamia sheria zake wakishirikiana na Polisi wetu na kuhakikisha mahakama zetu zinatoa adhabu stahiki ili kuwafanya wengine waogope kuhalalisha na kuleta vitendo viovu kama hivi.Na tumtake Rais wetu atoe msimamo wa wazi kama alivyofanya Rais wa Kenya,William Ruto na kuitangazia dunia kuwa uchafu huu na vitendo hivi viovu haviwezi kuingia katika nchi yetu hata kama tutakosa misaada bado Yupo Mungu atatupa misaada au tutatumia Rasilimali zote tulizo nazo....



🌐Na:Shujaaa©️®️Ⓜ️

0712054498

stmwaisembac@gmail.com
 
Summarize, haya yameshaandikwa sana humu ndani, hakuna mtu atakuwa na muda wa kusoma hili gazeti lote.
 
Haya mambo yanachangiwa sana na malezi.

Ukichunguza sana mapunga yamelelewa na single mama.

Kuna siku wife ananitambulisha kupitia picha mpenzi wa mdogo wake wa kike,yaani mume mwenzangu,nikaitathmini picha kwa muda kisha nikaulia,huyu jamaa mzima kweli!!!wife akahamaki,kwanini unaniuliza hivyo??nikamjibu huyu kuna characters anazikosa kama mwanaume.nikaulizwa,wewe umejuaje.ah kishkaji nikapiga chini ile maneno,maana maswali yalikuwa mengi.

Sasa ukapita kama mwaka hivi,anakuja ananambia mkorinto nikwambie ndugu yangu,fulani si naskia anatafunwa[emoji1][emoji1],nikamwambia mimi nilijua toka siku ya kwanza,hamna mwanaume pale.kuuliza kumbe linakaa na mama yake na linadekezwa toka likiwa dogo.
Duh! kama unayo namba yake hebu nitumie inbox ili nimuulize maswali machache tu!
 
Hali inatisha!!!
kwenye mabaa na maeneo mengine ya starehe unashangaa unapolelewa na shoga!!!

Tuchukue hatua zinazo stahiki, Mungu aliwazika wakiwa hai.....
 
Wabongo waaache unafiki kuhusu ili swala la ushoga….Kama mtu anaweza kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile atashindwa Vipi kumwingilia mwanaume mwenzake hivyo…Tuache unafiki eti mtu anapinga ushoga halafu anashabikia makalio ya mwanamke eti anamakalio makubwa ya nini sasa? Kama tuko serious na ushoga tuache kusifia Haya mambo ya kwa mpalange na etc
 
Natumia simu za Samsung zina bei sawa na iPhone, pia zina app za Google na Microsoft WhatsApp Facebook kote huko wapo mashoga, je niache kutumia sababu ya ushoga hapana tukisema tu boycott kila kilichotengezwa na shoga tutarudi kuishi zama za mawe, muhimu tujitahidi tutengeneze vya kwetu kisha ndio haya mambo yatawezekanaView attachment 2536821View attachment 2536822
Umemaliza kila kitu.
 
Ndio point ilipo sasa,
Ukikataa Ushoga na ukatae kutumia vitu vilivyotengenezwa na Mashoga hata hizo nguo wabunifu wakubwa ni mashoga [emoji2296]


Jamani Culture Me anakosa mada zake hizi 🥲
Alaaniwe aliyesababisha akapigwa ban[emoji35]
Yaan nime mmic had bas.
 
Wanawake na nyie mbadilike ,Mashoga wanatoa "ndogo" bure na wanahonga wanaume ila nyie mkitongozwa ili utoe mzigo inatakiwa mwanamme ajipange ,mmegeuza mbususu biashara...Sasa kuna msela yeyote aletewe "nukta" bure halafu aiche? Tena masela ndiyo wala viboga ,mwanamme mwenye maisha hali "mapapai".

Siungi mkono ushoga hata mara moja ila si wanaume wabadilike hata wanawake nao wabadilike kwenye malezi na kutoa mbususu(isiwe kuuuza).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe unafanya utafiti kabla hujaropoka kitu, aliyekudanganya mtu mwenye pesa hali kinyeo nani? Akati ndo wanaogozaa

Afu sio kila shoga anatoa kitobo buree, wapo wanaouza kwa dollars kila mtu na style yake ktk life LA ushogaa. Masela wengi wanawapakuana wao kwa wao zamu zamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wengi sana. kama hadi askari wenye sura ngumu namna ile ni gasho? zamani nilidhani wanaume wenye sauti ndogo au wasio wakakamavu tu ndio mapunga, nimekuja kugundua kati ya hao ni wachache sana wenye tabia hizo. wengi wao ni hao mabaunsa, watu ambao ukiwaangalia kwa kawaida sometimes unaweza usiamini hii dunia ilivyo.
Ukweli mmeanza kuujua sasa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama D, wee kaa na wanao huko nyumbani wafundishe maadili utakayo, hii comment yako haibadili chochotee.

Ingekua rahisi hivyo kukaa nao nyumbani ingekua raha
Lakini ndio wazazi tunafundisha ila wakitoka kwenda mashuleni wakakutana na mambo mbalimbali
 
Tuanze kampeni ya kuwaua hao Mashoga watapungua kama kufanya Kwa uficho wa hali ya juu Sana na sio kujiachia kama yule mtangazaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee endelea kuteseka tyuuh
 
Mimi nilijua una changamoto za kiafya, ili nikupe pole! Kumbe ni ishu ya huyo rafiki yako!! Huyo unatakiwa tu kumuombea.

Maana baada ya miaka kadhaa mbele, atakuwa anavaa pampasi kama mtoto mchanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nae Una maneno quntuuu kumbee lol
 
Back
Top Bottom