Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mambo ya Walawi 20:13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Huu mstari Ni muhimu Sana kuwa reference kila wakati
 
Basi kali linux kwa post yako hii naomba nichukue nafasi hii kuomba radhi wale wote wanaokwenda gym kwa nia njema ya kuimarisha afya ya akili na mwili na nitamke wazi kwamba mada yangu kwa hali yoyote ile haiwahusu bali ni wale waliotajwa kwenye ripoti ya Mwakyembrle na wengine wote wenye tabia hizo.. Pokea apology yangu kwa niaba[emoji1545][emoji1752]
Mshana ulifaa ukawe hata diplomat au mchungaji mkubwa. Serious
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheee ntakuumbuaa bureeee, na ile Dp yako ya telegram kwan mfupi, upo mbele ya galss, umeweka begi mgongoni, sio wee??

Mxxxieeeeew. Sitaki Ban now niwacheeeee
Mfupi?[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna boss mmoja aliniambia fedha nyingi zimetengwa kuileta hii mijadala kwenye mitandao ili watu waizoee na hakika ninajionea.
Uko sahihi kimsingi mleta mada humu na wale kule Twitter ni Moja ya watekelezaji wa hiyo ajenda,sijui kama unafanya mazoezi au lah binafsi nafanya mazoezi tangu 2010 na gym nimeenda tangu 2003 sijaona hayo yanayosemwa
Hii nchi Ina shida sana katika kujadili mijadala kuanzia Freemason hadi sasa
 
Kwanza awali ya yote nipongeze jitihada ya ya kila Mwanachama ambaye anapinga kwa vitengo vya ushoga kwa nguvu kubwa na ninawaomba nguvu ya kufanya hivyo,lakini pia nawaombea wale wanaobeZa jitihada hizo na Mungu awape uongofu.

Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa 2 katika chuo kikuu cha Dar es salaam nilisoma somo la Ethics ambayo nadharia mbalimbali zipo kwa ajili ya kuguide Maamuzi ya watumishi Nadharia ya "Utalitarism" ambayo imetokana na neno Utility (Matumizi) ambapo lengo la kuwepo nadharia hii ni kutaka kujua usahihi au uhalali wa maamuzi ambayo unachukuliwa katika sehemu tofauti za serikali au mtu yeyote,nadharia inasema ukitaka kujua jambo ni sahihi unatakiwa kuangalia matokeo (consequence) kama maamuzi yamewapa furaha watu wengi basi maamuzi hayo ni sahihi na kinyume chake ni dhambi kwa wote.

Ushoga na usagaji siyo jambo jipya kwenye masikio yetu hata kwenye vitabu vya dini wameonesha kuwapo kwa watu ambao walishafanya sana(watu wa mtume Nuhu) dhambi hiyo ambapo matokeo yao yalikuwa mabaya kwao kwa kupokea adhabu kubwa ya kupinduliwa ardhi.

Katika jamii yetu suala hili la ushoga limekuwa ni lenye majuto na kuibua hasira kwa watu wengi sana kwani jambo hilo ni chukizo kwa kila Imani (Rejea Hadithi ya mtume Nuhu) na hata pia katika vitabu vitakatifu vimebainisha kuwa ni katazo kwa kila Mwanamke na Mwanaume(78:8 Qur'an).


SUALA la ushoga si la kulifumbia macho mamlaka inatakiwa kulizibiti kabla halijawa kubwa na,jukumu letu wengine kulikema kwa moyo mmoja,Yapo Maamuzi magumu yanahitajika katika serikali kutumika (authoritative desicison) sababu ni kama serikali ikitumia njia ya Demokrasia itaendelea kudharauliwa hivyo nazani njia sahihi ni serikali kutumia mamlaka na nguvu katika kuondosha matatizo haya.

Mabepari wanatakiwa kujua kuwaka mstari wa kubainisha Value (maadili) na Rights(haki) kwamba vyote ni muhimu katika jamii ila kitu pekee kinachofanya jamii iweze kuishi ni maadili siyo haki ambazo zinaenda kupoteza utu wa kila mmoja wetu pamoja na kupotza sifa za Taifa kwa ujumla.

MADHARA


Kupotea kwa Maadili na Silka za Tamaduni zetu,tunapoteza kabisa uhalisia/bendera au uhuru wetu.



Kupoteauvu kazi ya Taifa,fikra,maono na weledi katika majumu unapungua kutokana na athari za saikolojia ya mapenzi ya jinsia moja.

Uvunjifu wa katiba ya jamuhuri ya muungano,Nembo ya Rais ni ishara ya kuwepo kwa jinsia tofauti ambazo zinalijenga Taifa
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa Dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume, Mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?
rafiki nimemsikiliza dr mwakyembe na yule mwanamke shujaa,mwandishi wa habari aliyekua akimfuatilia yule mzungu basha mpaka chozi limenitoka!!
 
VP karibu sana Tanzania. Najua umekuja kufanya utalii lakini zaidi umekuja kukazia agenda yenu wamarekana na mataifa ya western. Naomba niseme kwa niaba ya watanzania

Na kama sababu ya kutaka tuwe mapapai ni sababu ya mikopo mnayotupa tambua sio wote tuliokopa. Kama ulivowakabidhi basi deal nao

Kwenye hio Mikopo sisi hatuuhusiki deal na hao hao mliowakopesha, kama mnataka kuwapa haki zao muwape hao hao haki zao


Sisi wananchi hatutaki mambo ya Elebijitikiu

NAMALIZA.
 
VP karibu sana Tanzania. Najua umekuja kufanya utalii lakini zaidi umekuja kukazia agenda yenu wamarekana na mataifa ya western. Naomba niseme kwa niaba ya watanzania

Na kama sababu ya kutaka tuwe mapapai ni sababu ya mikopo mnayotupa tambua sio wote tuliokopa. Kama ulivowakabidhi basi deal nao

Kwenye hio Mikopo sisi hatuuhusiki deal na hao hao mliowakopesha, kama mnataka kuwapa haki zao muwape hao hao haki zao


Sisi wananchi hatutaki mambo ya Elebijitikiu

NAMALIZA.
Mashoga walio Jim Sasa HIV wakuelewe vipi
 
Hivi ni kweli hakuna mwanamke anaweza kucheza kwenye nafasi zao?

Hii kwa namna moja inachangia kuweka hii ishu kama ni ya kawaida kabisa.

Hizo mamlaka za sanaa na wizara husika walitazame hili.
 
Muwape fedha na zana za kufanya kazi nyingine ili waache kuigiza kama wanawake.
Mnadhanj wanapenda kuvaa gauni na mawigi?

Binafsi naona wako sawa,ubaya ni kama "wanapakuliwa"
 
Back
Top Bottom