Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

1. Serikali imkamate upesi huyu Raia wa Marekani Bwana David ( Mpumbavu na Shetani ) na ahojiwe kwanini ameshatuharibia Kizazi cha Vijana wengi wa Kiume Mkoani Dar es Salaam?

2. Kama Serikali inaogopa Kukabiliana nao Kimedani basi iseme tu kimya kimya Kwetu Wananchi wenye Hasira ( Wakiongozwa nami GENTAMYCINE ) tumalizane nao ( Kimkakati ) kama ambavyo tumemalizana na Wezi / Vibaka Sugu Mwananyamala, Manzese na Msasani.

3. Upesi sana wakamatwe Watanzania wanaomsaidia huyu Mpumbavu Mzungu Mmarekani David kufanya huu Upumbavu wake mkubwa Usiovumilika kwa Watanzania Wenzetu ambapo GENTAMYCINE nimetajiwa Majina yao wakiwemo baadhi ya Wakubwa, Watendaji wa Wizara, Wastaafu fulani, Wasanii, Waandishi wa Habari ( Watangazaji maarufu wakiwemo ) na hata Viongozi wa Dini ( Wahubiri Wakubwa ) tu nchini.

4. Wamiliki wa Kumbi zote za Starehe na Hotels Kubwa mpaka na Appartments za Mbezi Beach zilizotajwa na Investigative Journalist Catherine Kahabi Wakamatwe, Wahojiwe kwa Kina na Washtakiwe.

5. Ile Barua ya Wizara ya Mambo ya Nje iliyotolewa wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwa Paul Makonda iliyoonyesha kuwa Serikali haikumtuma Paul Makonda Kupambana na Ushoga nchini ikanushwe haraka sana na Serikali ( Mamlaka ) kwani kumbe kuna Watu wanaitumia hiyo Barua ya Wizara katika Kuwaambia Mashirika Matajiri ya Kizungu yanayojihusisha na Ushoga duniani kuwa Serikali ya Tanzania inaruhusu Ushoga na Wao kuwa Mawakala wao na Kujipatia Fedha nyingi mno.

6. Ifanyike Tathmini Kubwa na ya haraka ni Kiasi gani huyu Mzungu Mmarekani Shetani David na Mtandao wake Wameharibu Watoto wa Shule za Msingi ( Primary ) na Upili ( Secondary ) kwa Ushoga kwani tayari GENTAMYCINE namalizia Kukamilisha Uchunguzi wangu Binafsi juu ya Mwanafunzi wa Darasa la Sita ( Shule naihifadhi kwa sasa ) ambaye ni Shoga na ameshaharibu karibia 35% ya Wanafunzi wa Kiume wa hiyo Shule yake anayosoma.

7. Wanaume Wenzangu kuweni makini na Mazingira mnayokuweko, Vinywaji mtumiavyo mkiwa katika Kumbi za Starehe na Watu wanaowazungukeni kwani kwa mujibu wa Dada Catherine Kahabi ( Investigative Journalist ) ni kwamba huyu Mzungu Mpumbavu na Shetani David na Mtandao wake wana Dawa Maalum, Manukato na Nguo ( hasa hasa Jezi za Timu za Mpira Kubwa nchini na zile za Ulaya ) ambapo wakikupa tu na Kunywa, Kupakaa na Kutumia basi Wewe Mwenyewe kwa ridhaa yako unamtafuta Shetani David Mmarekani popote alipo aje afungue Utepe wa Marinda yako kwa Kuyafumua bila Huruma na Kunakotukuka

GENTAMYCINE nimalizie kwa kumpa pongezi zangu nyingi mno Dada Catherine Kahabi ( Investigative Journalist ) na Wasaidizi wake kwa Kazi Kubwa aliyoifanya kwa kutuletea hii Special Report yake ambayo Kiukweli imetufungua mengi zaidi.

Ombi langu tu Kwake Dada Catherine Kahabi ( Investigative Journalist ) na Dk. Harrison Mwakyembe walioamua Kuvaa Mabomu na Kujilipua Kupambana na hawa Mashoga na Mtandao kuwa kuanzia sasa wawe Makini na Usalama Wao, Serikali iwalinde kwani wameamua Kupambana Vita ambayo ni Kubwa, Chungu na ya Hatari Kwao huku Sisi Wengine tukiwaombea Ulinzi mkubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Hali ya Ushoga ni mbaya Tanzania!!!
Binafsi ninahisi kuna kudhulumiana hapa.
Hawa wanaonekana ni mashujaa leo yawezekana ni miongoni mwa waluotufikisha hapo ila wameamua baada ya kusalitiana.

Mtu km Mwakyembe ana taarifa za ndani ndani kabisa lkn alikuwa katulia tu,kwa nini km siyo mnufaika wa uhovu huo?

Ni km majambazi yakisalitiana,yanatoa siri za ujambazi wao,labda atakaye saliti auliwe.
 
Uko pamoja na Mimi, Jana niliandika thread nikaifuta. Kwa kifupi ile report ina mapungufu makubwa ukiachana na huyi mzungu
1. Takwimu za mashoga na wasagaji hazina uhalisia, kwa mfano ukisema njombe Kuna Wasagaji na mashoga 3000 huku ukiwataja SUMASESU ni upotoshaji.
2. Ili uthibitishe kuwa kitu Fulani ndio kisababishi cha kitu kingine inabidi kuwe na factors kadhaa. Walitakiwa kuwapima watu wanaodaiwa kuwa wamekuwa mashoga baada ya kutumia hizo perfumes kwa mtiririko huu, unamchukua Juma unathibitisha kuwa sio shoga, unamuweka kama chambo anatumia hizo perfume then Juma anaanza ku-develop viashiria vya ushoga, hapa ndio unaweza kuhitimisha ila kumbuka hii process inachukua muda maana tunazungumzia hormones.
3. Serikali ilitoa muongozo wa jinsi ya kuwasaidia hao MSM ili kupunguza maambukizi ya VVU, muongozo upon, sasa huwezi kuwahudumia bila kuwa-identify ndio chanzo cha kuwepo kwa Projects kama zile za SAUTI ambazo walisema zinagawa vilainishi.
4. Takwimu nyingi zilikua au ni fake kwasababu NGO nyingi zilitumia wrong approach. Yaani wali-recruit Vijana wa kuwafikia hao MSM, changamoto ikaja, nani atajitangaza? Kwahio ikawa na fund kwa anayekubali taarifa zake ziandikwe analipwa I think ilikua 20,000. Wale wafanyakazi waliwekewa target kwahio most of them wakawa wanafanya forgery kubwa, wanaingiza taarifa feki wanaenda wanapewa mshiko, hili nilishuhudia kwenye mradi wa SAUTI.

KWAHIO KUNA DALILI KUBWA SANA ZA AKINA MWAKYEMBE KUBURUZWA MAHAKAMANI
Wewe shoga kwani hujasikia kwenyetaarifa hiyo kwamba hizo perfume zilipelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali na akathibitisha kuwa perfume hizo zinaathiri hormone za kiume na kuongeza hormone za kike??. Nakushauri achana mchezo huo
 
Wee genta, Mbona inasemekana huyo Kahabi mwenyewe ni mke wa Yule mbunge wako mstaafu? Yule sauti ya radi kiongozi wa Covid19.
 
Wewe shoga kwani hujasikia kwenyetaarifa hiyo kwamba hizo perfume zilipelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali na akathibitisha kuwa perfume hizo zinaathiri hormone za kiume na kuongeza hormone za kike??. Nakushauri achana mchezo huo
Gasho hilo.....!!!!!!

Cc:Elli
 
Ndio maana huwa nasema TISS imelala, mtu anafanya ujinga wote huo na bado yupo huru.

Uchoko ni sehemu ya ibada za kishetani...

Serikali nyingi ulimwenguni zimejifungamanisha na ibada za kishetani...
 
Democracy" rule of people",supremacy of the people " who are the people?

Guys?elder?youth?wemon or men?

This is fucking nightmare for Africa let me tell you Demokrasia inasifa ya kuendana na utamaduni lakini tamaduni yetu umetofautiana na Marekani hivyo siyo kila jambo lao nasi tuige.


Mbona mengine hayalazimishwi
 
Popoma naona umeamua kuleta upopoma wako hapa, akili kubwa haiwez kukaa na kuanza kujadili ule utafiti uchwara wa mala¥a alieamua tu kutafta upepo wa kutokea,
Hamna mzungu anayetoka ulaya kuja kimgeuza mtu kuwa shoga na haitakaa itokee,
Ina maana hata wewe wakikukuta na kukupa mafuta na spray utaenda kuwapa mzigo, au tuseme wameamua kuweka hizo vitu vyao kwenye maduka wewe ukanunua accidentally bila kufahamu ukishatumia utatoka hapo na kuanza kutafuta mtu akushughulikie, acheni mawazo ya kipumbavu hata kwa kitu ambacho kinahitaji reasoning ya babyclass

Ushoga unaanzia kwenye familia zenu na upo tokea zamani, tawala za kichifu pia zilikua na wanaume ambao chifu anawapelekea moto vizuri kabisa ila ni kitu ambacho hutakaa uambiwe kazi kupiga kelele wazungu,
N.B Sipo katika kuwatetea wazungu ila mkijadili hili suala mjadili ukweli wake na sio kukaa na kujadili myths ambazo hazipo duniani.
 
Popoma naona umeamua kuleta upopoma wako hapa, akili kubwa haiwez kukaa na kuanza kujadili ule utafiti uchwara wa mala¥a alieamua tu kutafta upepo wa kutokea,
Hamna mzungu anayetoka ulaya kuja kimgeuza mtu kuwa shoga na haitakaa itokee,
Ina maana hata wewe wakikukuta na kukupa mafuta na spray utaenda kuwapa mzigo, au tuseme wameamua kuweka hizo vitu vyao kwenye maduka wewe ukanunua accidentally bila kufahamu ukishatumia utatoka hapo na kuanza kutafuta mtu akushughulikie, acheni mawazo ya kipumbavu hata kwa kitu ambacho kinahitaji reasoning ya babyclass

Ushoga unaanzia kwenye familia zenu na upo tokea zamani, tawala za kichifu pia zilikua na wanaume ambao chifu anawapelekea moto vizuri kabisa ila ni kitu ambacho hutakaa uambiwe kazi kupiga kelele wazungu,
N.B Sipo katika kuwatetea wazungu ila mkijadili hili suala mjadili ukweli wake na sio kukaa na kujadili myths ambazo hazipo duniani.
Kumbe machogo mpo wengi hapa JF!! Lakini hamtashinda na ushetani wenu huo!!
 
FK21 We si umelianzisha,limalize mwenyewe moderator wamekaa pembeni wanaangalia ninavokupaka mafuta.
 
Back
Top Bottom