KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Hili likatazamwe 🤔Daimond ndio kinara. Sitashangaa huyu kutumika kama mawakala. Nyimbo zimejaa matusi na ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili likatazamwe 🤔Daimond ndio kinara. Sitashangaa huyu kutumika kama mawakala. Nyimbo zimejaa matusi na ngono
Zanzibar hapa michezo hiyo kawaida SanaKumbe machogo mpo wengi hapa JF!! Lakini hamtashinda na ushetani wenu huo!!
Uko sahihiYupo sahihi lakini masikini Hana chaguo. Viongozi wanaopinga ushoga tunaona ni madikteta Tena Kwa kushinikizwa na mataifa ya maghalibi tunawapiga mawe. Wanapoingia Hawa akina sisi tunafurahia lakini nyuma ya pazia wanashindwa kukemea uovu huu kwenye jamii Kwa kuhofia kukosa misaada na mikopo nafuu. Mchungaji yupo sahihi na anamawazo sahihi lakini anaongea katika eneo asilosahihi na wakati usio sahihi akitaka ufafanuzi amuone Gwajim.
Jikite kwenye mada husikakuna mada ililetwa huku kwamba waumini wake wanalala chini ya miti/mbuyu.... ivi ashawasaidia ama bado?
Hatuwezi kuachana nayo bila kuwa na viongozi wanaojiamini. Bahati mbaya viongozi wanaoikataa misaada mwenyezi Mungu anawapenda zaidi.Uko sahihi
Siku tukiachana na hiyo misaada yao tutafika mbali sana
Na wakifika hapo watauliza kama ni Muuba wa vyote vya kike na kiume basi aweza kuwa KE au MENaona Mungu akiwa na jinsia basi na wanawake watadai Mungu wao. Tumuite tu "Muumba wa vyote".
Mwamposa yupo live channel ten
Anapondea Demokrasia kuwa inaleta ushoga Tanzania
Anasema tuwe makini na misaada ya Wazungu kwani Ina vipengere vinavyochochea ushoga
Ansema ushoga ni ushenzi na kama Wazungu watshindwa kuzipeleka injili mbele yeye na wachungaji wenzie weusi wataipeleka hiyo injili huko Kwa Wazungu ilko tokea
Ansema muwe makini na Biblia za siku hizi kwani nyingi zinapromoti ushoga kwani nyingi zina delete maneno "Baba" pale inapoamtaja Mungu Ili ionekane Mungu hana jinsia
Demokrasia huleta Devilgrasia
Nini maoni Yako!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuta m1 anapigwa na wanafunzi zaidi ya wawili,Mashoga wanakua na hiyo tabia toka utotoni sema wakija shule wanaanza kutafuta kama kuna wengine ndo wanajipendekeza kwa wasio mashoga....
Sasa hapa unapinga nn?? Km huna cha kufanyaa??Hili swali gani la kipuuzi? Mtu kawa shoga mi natakiwa kumfanya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchungu,ushoga mtataka wenyewe hakuna wa kuwalazimisha, tabia yenu ya kuomba-omba ndo itaruhushu ushoga kiroho safi
Mi nilikamata muuni ananyonya ndonga ya mwenzake kiroho safi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuta m1 anapigwa na wanafunzi zaidi ya wawili,
Tena ikiwa advance ndo kabisaaa, wanapozea upwiru kwa O level.