Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Utawaweza wabongo kwa kujishebedua?Mtu anajifanya kupinga ushoga wakati mtaani yuko nao
Kwenye shuguli yuko nao
Burdan zao anafatilia,mavazi yao anavaa
Ova
Hapo hata uhakika wa ftari hana anasubiri kudoea misikitini lakini kwenye keyboard anajiona warrior