Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Pia Huu ushenzi umekuja na hulka ya vijana wengi kupenda kuvaa VIJIKAPUTULA, vijikaputula na kuonyesha tupaja twao [emoji48][emoji48] kila pahala, I hate this too!.
Unaambiwaa Dar joto bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo ukiona paja la mwanaume mwenzio unadisa? [emoji15]
Hapana mkuu, ispokuwa hutu tu pensi na vimwendo vyao maana wengine mpaka wana vimwendo vya kudengua akijiwekea miwani white glass na juu amesuka nywele inakuwa shida kweli, KWA NINI MAADILI YAMEPOROMOKA KIASI HIKI?, WOTE HUU NI MPOROMOKO WA MAADILI.
"MAN YOU MUST ACT AS A MAN AND NOT ELSE"
 
Hapana mkuu, ispokuwa hutu tu pensi na vimwendo vyao maana wengine mpaka wana vimwendo vya kudengua akijiwekea miwani white glass na juu amesuka nywele inakuwa shida kweli, KWA NINI MAADILI YAMEPOROMOKA KIASI HIKI?, WOTE HUU NI MPOROMOKO WA MAADILI
Huo ni utandawazi bro,
Pros and Cons za Utandawazi, hatuwezi kuishi kama walivyoishi mababu zetu, kila siku mambo yanabadilika ni sisi tukubali mabadiliko na sio lazima wewe uige hayo mabadiliko bali kichwani mwako uelewe wanaobadilika, utaishi poa sana.
 
Tunaizungumzia Dar zaidi lkn , toka nje ya Dar ,ushuhudie Vituko zaidi. Watoto wadogo wanapigana miti hatari.

Hawana muda wa kusimuliana juu ya visichana vya kijijini kwako. Ni kwenda kuogolea kwenye mito na kupigana miti.

Waalimu wamejichokea kabisa. Wanajua Kitoto hiki ni shoga, kitoto hiki ni BASHA. vita hivi bila kuwa na timu ya pamoja WAZAZI, WATOTO, WAALIMU, USTAWI WA JAMII, POLISI NA WATENDAJI, MKURUGENZI NA MKUU WA WILAYA.

Vita hivi HAVIWEZEKANIKI. Ionekane wazi pesa zitengwe mfumo wa MAAFA, msako nyumba kwa nyumba, Mabanda ya SINEMA yapigwe marufuku sijui PS sijui nnn vuruga vyote, watoto kuzurura usiku HAPANA ,kamata mtoto na mzazi kisha WAPEWE adhabu za kijamii.

Bila Juhudi Mahususi hali ni Mbaya, mbaya kweli, vijana wa kiume, uwezo wao wa kukatika kiuno ni mkubwa mno kupita watoto wa kike, kwanini wavae Mlegezo?

Fikiria ngoma za kienyeji, Jinsi WANAUME walivyokuwa wanacheza KIBABE mwili umejengeka kimazoezi. Halafu jenga picha vijana wa sasa wanavyokatika viuno katika matamasha yao.

Unapotingisha MATAKO shida yako nn?
 
👤 Vyombo vya habari vinaeneza na kusambaza habari tofauti tofauti kwenye masikio ya watu bila kutambua MADHARA gani yanaenda kuikumba jamii.

📌 Vyombo vya habari kuna mambo ya kuhabarisha umma na mengine kuweka off mic na kufikisha taarifa kwenye sehemu husika, sio kila habari iende hewani. Kuna habari za kuenda hewan moja kwa moja na nyingine KUFIKISHWA kwenye sehemu husika.

Zimekuwepo taarifa mbaya kabisa ambazo hata ukizirepot bado zinaleta picha mbaya kwenye jamii na jamii inaweza kukuchukulia vibaya.. sawa suala la kuripoti taarifa sio vibaya ila ni taarifa gani unaripoti kwa umma?

📌 TATIZO NI MOJA TANZANIA PAMOJA NA SERIKALI YETU.
👉 Taarifa inaporipotiwa hakuna chombo chochote cha serikali kinafuatilia hiyo taarifa na kuifanyia kazi ndo maana kila siku taarifa zinakuwa hizo hizo.. mwisho taarifa moja inakuwa wimbo wa Taifa.
👇
...... Utekelezaji hakuna, afu tunahitaji akili ya ziada, matukio mabovu serikali ipewe taarifa kabla ya taarifa kwenda kwenye mitandao ya kijamii au vyombo vya habari . Maana serikali ndo inajukumu la kuthibitisha habari ya kwenda hewani au la!.

Kuwa huru kuandika habari tofauti sio shida.. hiyo habari unayoandika itafanyiwa kazi au veep? Mfano kuna watu kila siku kesi ile ile na taarifa zipo kila siku ila serikali kimya. Hii ina maanisha nini?

👤 UNAPOHITAJI KUFANYA OPERATIONS SIO UNATOA TAARIFA, NI KIMYA KIMYA UNAPOTOA TAARIFA TAMBUA WATU WATAJIFICHA. NA UKITOA TAARIFA INA MAANA UKO NA WATU WAKO UNAWALINDA?
......
au Elimu zenu ndo zinawatuma hivo?
 
Hata music industry, ndio walewale.. mfano km zuchu kuhamasisha udangaji,nyimbo za singeli kuhamasisha mapenzi ya jinsia Moja n.k na pia hata hao redio presenters hawana maadili .. kuropoka tu vingine havifai kabisaa
 
Ndani ya dakika kumi ushaandika thread mbili..hauna kazi kiongozi
 
Maandamano ya swala kuwafukuza simba.

Swala jike mkuu kagundua ni ngumu, kawashauli wenzake kufungia watoto wao majumba na kuwakanya "Not to go around the bushes"...
 
Ukiangalia mwonekanano wa inzi na nyuki kimaumbile wote wanafanana sana,ila utofauti wao ni kwamba inzi ni tegemezi kiasi ambacho anakula kinyesi, anadokoa chakula,anakunywa mikojo,mbaya zaidi anasambaza maradhi kama kipindupindu n.k, kihalisia inzi anadhaurika kwa tabia yake ya kupenda kuzengea midomo ya wa2 inayorindima kwa harufu mbaya mdomoni, na inzi hajui kujitenga yeye ni m2 wakujichanganya na wanyama kama binadamau,mbuzi n.k.......kiufupi izi hana faida yoyote ile!!!..

Sasa njoo kwa nyuki, nyuki hana mpango na kiumbe chochote zaidi ya kutengeneza asali,rafiki wa nyuki ni maua tu kwa ajili ya kutengeneza asali, kihalisia nyuki ni mzee wa kujitenga na hana mpango wakujichanganya, ila ukiwazingua wanakuzingua, kimsingi nyuki wana faida sana kwa jamii kwa ajili ya sali ambayo ni dawa na tiba na kinga kwa maradhi mengi sana, hapa nina maana gaani kwa mfano wa nyuki na inzi?

Naimba serikali yetu isiwe kama inzi kwa kuwaogopa wazungu kutokukemea ushoga waziwazi kwa ajili yakuzengea vinyesi vya missada yao inayonuka na kufurahia kauli zao zao zinazorndima harufu mbaya ya midomo yao kama izi wafanyao.

Kwani in another way wanatuona hatuna faida yoyote, mama samia kuwa kama nyuki,toa kauli thabiti kama putin na museven kwamba "hatutaki ushoga" na ikiwezekaana tujitenge nao kama nyuki,na wakitufuata kwenye mizinga yetu tuwafanyie noma kama russia, tukifanya ivo tutakua na faida kwa kizazi chetu.....ii kauli uliyotoa mheshimiwa rais kwamba eti2wanaume fanyanyeni wenyewe nyie wenye misuli na muaache watoto,kwamba kila mtu ana uhuru wa kutumia mwili wake. Mheshimiwa ni kama umehalalisha KIMTINDO, kauli hii ilinifanya nilewe mnazi mpaka nikalala kwenye ubanda kwa mawazo.
 
Naomba ni seme kidogo kuhusu hili swala la ushoga kama ambavyo watu wamekuwa wakilijadili. Mimi kwa uelewa wangu na kwa jinsi ambavyo nimelifahamu hili tatizo. Nitalizungumzia kwa mifano halisi kwa watu ambao nimewafahamu.

Kwanza kabisa, nimezaliwa nimekuta kuna majina au maneno watu wakiyatumia ktk jamii, 1. Msenge 2. Hanithi, na 3 wasagaji. Haya majina yamekuwepo miaka nenda rudi ktk jamii na sio msamiati mpya. Maneno haya hawaitwi wanyama bali ni sisi, na ktk jamii watu hawa wapo na ndio maana kumekuwa na maneno haya.

Kitu cha kwanza ni jamii kutambua kuwa vitendo hivi vipo na vinafanyika, na kwa nini vipo, hilo ndio swali la msingi lazima watu wajiulize kwanza na sio kulalamika tu na kuwanyooshea vidole wausika.

Nitoe mfano mmoja, kuna family moja niliwahi kuishi nayo kwa kipindi cha takribani miaka 10, ile family ilikuwa na watoto 4, wakike 3 na mdogo wao wa mwisho alikuwa wakiume.

Huyu mtoto alikuwa hapendi kucheza na watoto wa kiume hata kidogo, bali ni watoto wakike tu nilimfahamu akiwa na miaka 9, bado anasoma primary school, mpaka akaenda secondary school, na kila alivyokuwa ana kua, ndivyo alivyojidhihirisha kuwa na hisia za kike, na wazazi wake wamemkubali kwa jinsi alivyo, kumbuka ni mtoto pekee wa kiume.

Kwa hiyo hawa watu uzaliwa hivyo na sio kama watu wengi wanavyodhani. Pili kuna rafiki yangu mmoja aliolewa na mwenyezi Mungu aliwajalia kwakapata mtoto, lakini kabla ya hapo tulikuwa tunaambiwa kuwa jamaa anaingiliwa na wanaume wenzake, tukawa hatuamini ila amini usiamini mkewe alithibitisa hilo na ukawa ndio mwisho wa ndoa yao. Kumbuka wamezaa mtoto.

Nimejaribu kutoa mifano ya watu ninao wajua fika na sio kitu cha kusimuliwa na mtu. Kwa nini nimeamua kuanzisha uzi huu ni kujaribu kueleza kuwa hawa watu wapo na tunaishi nao sioni sababu ya jamii kuwatenga ni wenzetu na hivyo ndivyo walivyo, hawa kupenda kuwa hivyo walivyo kama wengi wanavyo amini.

Wazungu walichofanya wao ni kutambua tatizo na kuwatambua ni sehemu ya jamii yao. Ila kwa Tanzania tunahisi kuwa ni utamaduni wa kizungu wakati sio kweli, ni kutafuta mtu wa kumtwisha lawama pasipo kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwasaidia.

Jaribu kufikiria mtaani, shuleni au hata makazini tumeishi na watu wa jinsi hiyo ila tulikuwa tunasema, huyu ana tabia za kike au za kiume, jaribuni kukumbuka.

Kwa hiyo mimi nawaona ni watu ambao ni vilema kama kilema kingine chochote kile, tunatakiwa kuwa angalia kama ni watu ambao wanahitaji kuwa sehemu ya jamii.

Hebu chukua kesi ya yule jamaa wa zanzibar, unaenda kumpima, kisha majibu yana kuja ameingiliwa, je uliwahi kujiuliza background history yake kabla ya kumpima?.

Au ndio sisi tunaamini bado tunaamini kuwa watoto wetu hawajamiani mpaka wanapofunga ndoa au akipata ujauzito ndio wazazi wanasituka.

Mwisho tunapojadili swala la ushonga tuliangalie kwa upana wake na sio kwa ushabiki
 
Back
Top Bottom