Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

This is typical social work non judgmental. Asante sana mpandisha uzi
 
Naomba ni seme kidogo kuhusu hili swala la ushoga kama ambavyo watu wamekuwa wakilijadili. Mimi kwa uelewa wangu na kwa jinsi ambavyo nimelifahamu hili tatizo. Nitalizungumzia kwa mifano halisi kwa watu ambao nimewafahamu.

1. Jifunze uandishi
2. Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama?? Ulishawai ona mbwa shoga??, ng’ombe??, Punda??, Tembo??, mbuzi??, Simba??.

Mtu anazliwa shoga?? Haiwezekan mbona wanyama hatuoni??.
 
Naomba ni seme kidogo kuhusu hili swala la ushoga kama ambavyo watu wamekuwa wakilijadili. Mimi kwa uelewa wangu na kwa jinsi ambavyo nimelifahamu hili tatizo. Nitalizungumzia kwa mifano halisi kwa watu ambao nimewafahamu.
tabia ya kujifunza au kufundishwa haiwezi kuwa ulemavu. Kama ndivyo hata uvutaji bangi, utumiaji wa madawa ya kulevya na wizi ni ulemavu pia?....au nawe ni mmoja wao?
 
Tatizo ni kuwa unatambua jema na baya na kisha unaamua kufanya kwa kusudi kabisa bila kushurutishwa unaamua kutoa mjengo washenzi wenzako waubomoe halafu unataka watu wakubaliane na kile unachofanya, sijui kwa wengine hao uliowatolea mifano ila kwangu naona sio sawa kabisa, iweje mtu mpaka kaamua kuoa kabisa kisha anaenda 'kuolewa' huko nje? Hivi huyu mtu ni timamu kweli?? Sidhani
 
1. Jifunze uandishi
2. Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama?? Ulishawai ona mbwa shoga??, ng’ombe??, Punda??, Tembo??, mbuzi??, Simba??.

Mtu anazliwa shoga?? Haiwezekan mbona wanyama hatuoni??.
Kama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!
Wapo mashoga wa kuzaliwa ndiyo na wapo wa kufunzwa hawa wanaingiliwa wakiwa wadogo na wanazoea hii tabia
Kama huamini kwamba watu wanazaliwa wakiwa mashoga kwann wanawake wengine wana ndevu? na baadhi ya wanaume wana maziwa?
 
Mtoa mada sikubaliani na wewe huo sio uumbaji bali tabia za kishenzi alizozijifunza Mwanadamu kwa utashi wake mwenyewe.

Mungu alimwuumba Mwanadamu kwa sura a kwa Mfano wake Mwa 1:26-27
 
1. Jifunze uandishi
2. Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama?? Ulishawai ona mbwa shoga??, ng’ombe??, Punda??, Tembo??, mbuzi??, Simba??.

Mtu anazliwa shoga?? Haiwezekan mbona wanyama hatuoni??.
Kama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!
Wapo mashoga wa kuzaliwa ndiyo na wapo wa kufunzwa hawa wanaingiliwa wakiwa wadogo na wanazoea hii tabia
Kama huamini kwamba watu wanazaliwa wakiwa mashoga kwann wanawake wengine wana ndevu? na baadhi ya wanaume wana maziwa?
 
Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama??
Wanyama wa jamii za Big Apes wanafanya kwa mfano Masokwe aina ya Bonobo.

Ushoga sio kitu cha Mwanadamu peke yake fanya research vizuri.

Kuna aina za Ukhanisi zinaweza kuwekwa kwenye category ya ulemavu na zingine kwenye Mental health.

Lakini kusagana na kufirana ni natural.



Bonobos are a now endangered species of great ape. They live in the forests of the Democratic Republic of Congo.

The nickname of “hippie ape” refers to the remarkable social practices of these primates, which display tight cooperation.

This includes sharing food, the largely equal standing of females and males in bonobo communities, and same-sex sexual behavior among males and females alike.
 
Ninachokifahamu ni kuwa watu huyaona mambo kutokana na vile wanavyoyatazama.

Kwako wewe umeliona suala hili ni la kawaida ndio maana umelikumbatia na ukalitafutia justification ukaliita "kilema".
Lakini kama ungeliona ni jambo baya na lisilofaa basi ungelikemea na kulitafutia ufumbuzi.

Ndio maana hata hao vilema tunawatafutia namna ya kuwaweka sawa ili waendelee na shughuli zao kama watu wengine, kwa sababu tunajua kuwa hali walizonazo sio sahihi.

Ndio maana mlemavu wa miguu atapatiwa baiskeli ili aweze kwenda, mlemavu wa masikio atapatiwa vifaa maalumu walau aweze kusikia, bubu atafundishwa lugha ya ishara ili aweze kuwasiliana na wengine.

Ila hawa walemavu wako unataka wasisaidiwe kutokana na hiyo hali, na badala yake wakumbatiwe na kusapotiwa wabaki katika ulemavu wao.

Na hivi kati ya shoga na basha nani anakuwa kilema hapo?
 
Mapenzi Yako Mungu yatimizwe hapa duniani, kama huko Mbinguni.

Umewahi kujiuliza Mbinguni Kuna Wezi? Wauaji nk nk?

Neno limeweka wazi, wazinzi,wezi ,wafiraji, nk nk, hawataurithi ufalme wa Mungu.

USHOGA ni mfumo ulioanzia kuzimu kuletwa Duniani. USHOGA ni uvamizi Kwa mankind.

Mfumo huo ukiingia ndani ya Mume, ataanza kumwingilia mke kinyume, BAADAYE majirani na BAADAYE watazaliwa mahanithi ktk ukoo na BAADAYE kuwa mashoga.

Wachawi huingiliana kinyume na maumbile na ni kawaida wao kushare.

Kama una mke na ni mchawi, jua unashare, sababu mchawi mama na mtoto wanazini, kuingiliana kinyume ni sifa kwao.

Mchawi na shoga, na wafiraji na makahaba ni wamoja.

So NDOA ya Mume mmoja na mke mmoja imetoka Mbinguni.

Bt kuzimu hakuna such a thing.

Kama ilivyo Mbinguni, hakuna vilema, vipofu, viziwi, wenye KIFAFA, magonjwa Sugu nk nk, kamwe usiJUSTFY ukilema huo wa kujitakia kimchongo, kubadili Utaratibu na AMRI za Mungu.

Jua fika, ukiona umezaa, mtoto hanithi, au mwenye JINSIA mbili, jua Kuzimu imehusika kuingiza matatizo hayo kwenye uzao wako.

Tangu zamani walizaliwa mahanithi, hawakuingiliwa kinyume, waliachwa wawe matowashi. JAMII zingine ziliwaua watoto wa aina hiyo walipogundukika Ili kuwapunguza.

Kuwa na watu wa aina hiyo katika JAMII ni jambo moja na Kuhalalisha au kuhamasisha waenee na kuongezeka ni jambo jingine.
 
Naomba ni seme kidogo kuhusu hili swala la ushoga kama ambavyo watu wamekuwa wakilijadili. Mimi kwa uelewa wangu na kwa jinsi ambavyo nimelifahamu hili tatizo. Nitalizungumzia kwa mifano halisi kwa watu ambao nimewafahamu.
Kwanza kabisa, nimezaliwa nimekuta kuna majina au maneno watu wakiyatumia ktk jamii, 1. Msenge 2. Hanithi, na 3 wasagaji. Haya majina yamekuwepo miaka nenda rudi ktk jamii na sio msamiati mpya. Maneno haya hawaitwi wanyama bali ni sisi, na ktk jamii watu hawa wapo na ndio maana kumekuwa na maneno haya.
Kitu cha kwanza ni jamii kutambua kuwa vitendo hivi vipo na vinafanyika, na kwa nini vipo, hilo ndio swali la msingi lazima watu wajiulize kwanza na sio kulalamika tu na kuwanyooshea vidole wausika. Nitoe mfano mmoja, kuna family moja niliwahi kuishi nayo kwa kipindi cha takribani miaka 10, ile family ilikuwa na watoto 4, wakike 3 na mdogo wao wa mwisho alikuwa wakiume. Huyu mtoto alikuwa hapendi kucheza na watoto wa kiume hata kidogo, bali ni watoto wakike tu nilimfahamu akiwa na miaka 9, bado anasoma primary school, mpaka akaenda secondary school, na kila alivyokuwa ana kua, ndivyo alivyojidhihirisha kuwa na hisia za kike, na wazazi wake wamemkubali kwa jinsi alivyo, kumbuka ni mtoto pekee wa kiume. Kwa hiyo hawa watu uzaliwa hivyo na sio kama watu wengi wanavyodhani. Pili kuna rafiki yangu mmoja aliolewa na mwenyezi Mungu aliwajalia kwakapata mtoto, lakini kabla ya hapo tulikuwa tunaambiwa kuwa jamaa anaingiliwa na wanaume wenzake, tukawa hatuamini ila amini usiamini mkewe alithibitisa hilo na ukawa ndio mwisho wa ndoa yao. Kumbuka wamezaa mtoto.
Nimejaribu kutoa mifano ya watu ninao wajua fika na sio kitu cha kusimuliwa na mtu. Kwa nini nimeamua kuanzisha uzi huu ni kujaribu kueleza kuwa hawa watu wapo na tunaishi nao sioni sababu ya jamii kuwatenga ni wenzetu na hivyo ndivyo walivyo, hawa kupenda kuwa hivyo walivyo kama wengi wanavyo amini. Wazungu walichofanya wao ni kutambua tatizo na kuwatambua ni sehemu ya jamii yao. Ila kwa Tanzania tunahisi kuwa ni utamaduni wa kizungu wakati sio kweli, ni kutafuta mtu wa kumtwisha lawama pasipo kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwasaidia. Jaribu kufikiria mtaani, shuleni au hata makazini tumeishi na watu wa jinsi hiyo ila tulikuwa tunasema, huyu ana tabia za kike au za kiume, jaribuni kukumbuka.
Kwa hiyo mimi nawaona ni watu ambao ni vilema kama kilema kingine chochote kile, tunatakiwa kuwa angalia kama ni watu ambao wanahitaji kuwa sehemu ya jamii. Hebu chukua kesi ya yule jamaa wa zanzibar, unaenda kumpima, kisha majibu yana kuja ameingiliwa, je uliwahi kujiuliza background history yake kabla ya kumpima?. Au ndio sisi tunaamini bado tunaamini kuwa watoto wetu hawajamiani mpaka wanapofunga ndoa au akipata ujauzito ndio wazazi wanasituka.
Mwisho tunapojadili swala la ushonga tuliangalie kwa upana wake na sio kwa ushabiki
Ni malezi na mazoea mabaya! Kwa mfano huyo aliyezaliwa na ndugu wa kike usoefu wake ni wanawake na anakuwa kama dada zake! Psychology ina tiba! Akiwahiwa anapona kabisa.
Mazoea mabaya ukikuta mtu mwenye malezi ya kike kike sana anaanza kuchanganyika na wanaume wenye malezi ya kiume na kuonyesha huo ukike wake watahamasika wamjaribu.
Hivi yule mzungu anayewachukua mabauza na kuwavunja mshipa wa kiume ili wawe mahanithi na aendelee kuwaingilia tu unasemaje hapa!?? Mseveni ameshaprove hakuna maelezo ya kisayansi ya ushoga!
 
Back
Top Bottom