Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Huu ndio ukweli,japo tunajifanya watakatifu,lakini ni waraibu wa kwa mpalange,hakuna cha wasomi,matajiri,malofa,viongozi wa dini,wanasiasa,wasanii au wanamichezo,wote ni kwa mpalange
Yaweza kuwa kila unaemfuata unampalange na unakuta ameshapalangwa.

Kwa maana hiyo hilo sio hitimisho la 90% yetu sote wanaume tunaandamana kwa mpalange. Ni akili zenu tu wanaume wachache mliochagua njia yenu.
 
Nilikuwa naona ni sawa kwasababu ya utizamaji wa porno flani flani,

Nilipokuja kugundua porno ina uharibifu mkubwa sana kwenye akili za watu, nikafuatilia jinsi wale ma 'actress' wanavyoigiza hizo porno za kwa mpalange, nilishikwa na kinyaa sana.

Sijawahi na sitokaa nijaribu.

Porn zinaharibu sana vijana, huu ni ukweli usiopingika.

Halafu huo uharibifu unaletwa kwenye mainstream media kupitia miziki ya hao hao vijana wa hovyo.

Huo mchezo umekuwa maarufu, vijana wameunda misamiati kama;
-shing' mia
-kisamvu
-utope
-tigo
-ndogo
-kitundu cha huzuni nk.

Sikubaliani na takwimu zako lakini nakiri kuna tatizo kubwa.
 
Back
Top Bottom