Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Huu ndio ukweli,japo tunajifanya watakatifu,lakini ni waraibu wa kwa mpalange,hakuna cha wasomi,matajiri,malofa,viongozi wa dini,wanasiasa,wasanii au wanamichezo,wote ni kwa mpalange
Hapana,sema wanawake hujiuza directly/indirectly,hii Huwa rahisi kwa wanaume wawili kumiliki wanawake 40 wanaojiuza
 
Huu ndio ukweli,japo tunajifanya watakatifu,lakini ni waraibu wa kwa mpalange,hakuna cha wasomi,matajiri,malofa,viongozi wa dini,wanasiasa,wasanii au wanamichezo,wote ni kwa mpalange
Acha uongo, uhuni wako unataka uwaunganishe na wengine, hiyo asilimia 90 umeitoa wapi?
 
Tuwe wakweli juu ya ushoga.

Kwa ilivyo juu ya rushwa ndivyo ilivyo ktk ushoga. Tunaimba kiila juu ushoga ni kitu kibaya lkn tunafunga maskio yetu kila siku yasikia wasanii wetu wakisema "kwa mpalange kwa mpalange" na wananchi hata kupiga marufuku maneno zinazo glorify ushoga .

Kwa sbb siasa imeingizwa kwenye rushwa, wanapiga rushwa kwa maneno tu ndio wala rushwa wakubwa.
Ushoga ni ttz kubwa, tuache kuimba nyimbo zinazotukuza ushoga. Hili ttz la ushoga ni balaaa kwa taifa. Wote tunajua kwamba hata ktk familia nyingi manaume wanaingilia hata wapenzi wao na pengine hata wake zao kinyume ncha maumbile.

Swali langu: Tutaacha lini unafiki wa kuingiza siasa ktk masuala muhimu kama haya. Kwanini hatupendi kutatua mattz yetu kulingana na uhalisia wake?
 
Back
Top Bottom