Vitisho vya Azana

IDIOT
 
Jamaa angu umeniwahi, nikipata uongozi katika hii nchi, ntaruhusu azana pekeyake, mambo mengine watumie speaker za ndani,

Sasa mtu ameshatoa azana bado anasema maneno kibao utadhani wote wanaomsikia ni waislam, af wengi ni wazee wanamaneno ya ajabu sana.

Kuna mmoja aliwahi sema eti hiyo boda yako, ni kaburi unaweza anguka nayo. Khaaa inahusu?
 

Acha uvivu. Amka. Hupachi chcht ukiwa umelala.

Kimsingi binadamu tunapaswa kulala masaa 4 tu.
 
Kweli kabisa, sema wengi wetu huchelewa kulala ndo maana wanaona kero. Ila ule huwa ni muda mzuri sana wa kuanza siku.

Ipo siku nitaanza kuishi hiyo ratiba.
Yes hufaidiki chcht unspolala zaidi. Tena tunapaswa kulala masaa 4 tu.

Tuone haya magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama tutayapata
 
Mkuu hayo maneno sio sehemu ya adhana. Wala hayahusiani na adhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…