Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,505
- 2,393
IDIOTIla na nyinyi mngesogeza kidogo muda hiyo Azana yenu mpaka walau saa 12 hivi! Kiukweli huwa hamtutendei haki sisi ambao hatuhusiki na hizo swala zenu. Yaani ikifika saa 10+ alfajiri ni kelele mji mzima.
Am very sorry. Kumbuka tu kila sauti inaweza kuwa na tafsiri mbili kwa msikilizaji. Binafsi kitu ambacho sihitaji kukisikia masikioni mwangu, siku zote huwa nakichukulia kama kelele.