Vitisho vya Azana

Utapata uoga kama mahusiano yako wewe na Mungu hayako poa
 
Kitanda chako ndo kaburi lako😆
 
Muda sahihi kwa mwanadamu ni masaa 8+. Hayo masaa 4 umeyatoa wapi?

Sikia broo: kula mara tatu, kulala masaa 8 ni maandika yako promoted na viwanda vya madawa.

Wanachochea ili upate kuumwa ili biashara zao ziendelee.

Ukila mara moja (1 0 0) au mara mbili chakula kikuu au mara mbili (1 1 0) hutoumwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Ukitaka kuwa tofauti ya kufikiri na wanaolala masaa 8 lala masaa 4. Masaa 4 yatumie kujisomea, fanya shughuli ya uzalishaji yyt.

Anaelala sana hafaidiki chcht na kulala kwake.

Waliofanikiwa wote hulala muda mfupi.

Ni siri hii hutoambiwa na yyt.
 
Mda huo unapewa cha asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23], na unasikia habari za kitanda chako ndio kaburi lako[emoji23][emoji23][emoji23]

Kufa ni lazima.
Halafu miili hii mtihani, wengine huo muda ndo mnara unasoma 4G, halafu unamcheki mtoto kalala kimtego, unajiuliza ule kwanza ndo ukaswali au ukaswali kwanza ndo ule ?
 
Faizafoxy anasema na kusisitiza 👇

 
Nakubaliana na wewe! Kelele na vitisho wafanyiane wa dini husika maana ni mambo yao hayo! Sheria iangalie hivi vitu!
 
Wanakupigia makelele uKiwa unasikilizia ,.....b .oo ya matta core
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…