Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Muda sahihi kwa mwanadamu ni masaa 8+. Hayo masaa 4 umeyatoa wapi?Acha uvivu. Amka. Hupachi chcht ukiwa umelala.
Kimsingi binadamu tunapaswa kulala masaa 4 tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda sahihi kwa mwanadamu ni masaa 8+. Hayo masaa 4 umeyatoa wapi?Acha uvivu. Amka. Hupachi chcht ukiwa umelala.
Kimsingi binadamu tunapaswa kulala masaa 4 tu.
Kitanda chako ndo kaburi lako😆Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Muda sahihi kwa mwanadamu ni masaa 8+. Hayo masaa 4 umeyatoa wapi?
Halafu miili hii mtihani, wengine huo muda ndo mnara unasoma 4G, halafu unamcheki mtoto kalala kimtego, unajiuliza ule kwanza ndo ukaswali au ukaswali kwanza ndo ule ?Mda huo unapewa cha asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23], na unasikia habari za kitanda chako ndio kaburi lako[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufa ni lazima.
Hahahahaha, mambo moto motoMda huo unapewa cha asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23], na unasikia habari za kitanda chako ndio kaburi lako[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufa ni lazima.
Mood inakata shwaaaaaaaa[emoji23]Hahahahaha, mambo moto moto
Yaani hapa wengi tutafeli[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu miili hii mtihani, wengine huo muda ndo mnara unasoma 4G, halafu unamcheki mtoto kalala kimtego, unajiuliza ule kwanza ndo ukaswali au ukaswali kwanza ndo ule ?
Faizafoxy anasema na kusisitiza 👇Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Hahaha haha,sio ndio unaongeza ufundiMood inakata shwaaaaaaaa[emoji23]
Somalia waislamu wanaoneana. Hapo solution ni wote waukache uislamu
Nakubaliana na wewe! Kelele na vitisho wafanyiane wa dini husika maana ni mambo yao hayo! Sheria iangalie hivi vitu!Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Wanakupigia makelele uKiwa unasikilizia ,.....b .oo ya matta coreManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
.Una mimba ya Imam?