Vitisho vya Azana

Ni kero sana hii mkuu,pole
 
Mzee huofii watu wanajadili majin kuliko Mungu wakiongea kitu km hchi au huwa mnaona kawaida
 
Sio kwa ubaya ila pamoja na kelele zote hizo swala ya fajr hata mstari mmoja huwa haujai.
 
Wewe mwenyewe unalala masaa 4?
 
Hujui vitisho weweee..
Panda kwenye Gari lao la Msiba...
 
Shuka lako ndio sanda yako, hatarii
 
Mm ni Muislamu ila kuhusu haya maneno watu tu wamezusha ila kwenye uhalisia wa dini hayapo na ukiangalia wengi wanofanya hivi ni wale wazee halafu ni wabishi hatarii huna la kuwaambia mara utaishia kupigwa kipapai tu

Iliyojuzu kwenye Uislamu kutoka kwenye mafundisho Sahihi ya Mtume wetu kipenzi ni Ile Adhana tu hayo mengine ni mambo za watu tu
 
Wewe mwenyewe unalala masaa 4?

Kawaida sana hadi saa 7. Ukijizosha hivi kwa kusoma vitabu utaona uko nyuma ktk maarifa na uelewa wa mambo. Na unapata nguvu ya kutumia muda mwingi kujisomea zaidi. Na ukilala saa 7 saa 11 unaamsha na adhana. Unajisifia. Wakati wenzio wamelala wewe ulikuwa unaongoza madini
 
Mbaya sna watu kujiamria kuingiza utashi wao na kuvuka mipaka iliyowekwa Kama msingi wa dini husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…