Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
Hehehehe nimecheka sana eti utaishia kupigwa kipapai...kwaiyo unaona cha kufia nin Bora uwaache tuMm ni Muislamu ila kuhusu haya maneno watu tu wamezusha ila kwenye uhalisia wa dini hayapo na ukiangalia wengi wanofanya hivi ni wale wazee halafu ni wabishi hatarii huna la kuwaambia mara utaishia kupigwa kipapai tu
Iliyojuzu kwenye Uislamu kutoka kwenye mafundisho Sahihi ya Mtume wetu kipenzi ni Ile Adhana tu hayo mengine ni mambo za watu tu
Hiyo sio adhana bali ni kelele tu adhana maneno yake ni machache sana ayachukui zaidi ya dakika 5 kama vipi nenda serikali za mitaa,lakini ukumbuke na vilio vya warokole usiku kucha majirani hawalaliManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Hivi Samahani kuuliza si ujinga,hivi mnaojuaga hivi kikoroani huwa mnaweza kuongea na Mwarabu direct?Fadhakir fainna maan antadhikra
Hhhhhhhh hao wazee achana nao kabisaaa Mungu akijaalia kuwaongoza atawaongoza tuHehehehe nimecheka sana eti utaishia kupigwa kipapai...kwaiyo unaona cha kufia nin Bora uwaache tu
HAYA MANENO HUWA SI MAZURI. MTU MUITE MUELEKEZE UZURI WA SALA SIYO KUANZA KUMTISHA NA MANENO MAKALI N.KManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Hawa wanaiga mfano wa nani?? Ilihali mpiga adhana wa kwanza kabisaa Bilal bin labaah hakuwa na vitisho kwenye adhana?? AHivi vitu vilikuwepo toka enzi na enzi na watu walijifunza kuishi navyo.
Na hawadanganyi ibada ni bora kuliko usingizi.
Hao ndo wazee ninowazungumzia yani usikute anaweza akaadhini tena yeye na usikute wengine feni haliwashwi bila ya Amri yake ohooooooNje ya mada, ndani ya mada
Kuna mzee Lindi municipal kazi yake ni kuadhini. Ukimwahi akakuta umeshaanza kuadhini atakasirika na swala ya mda huo ataisusia.
Kiuhalisia wanakosea sanaa mana si katika mafundisho ya UislamuHawa wanaiga mfano wa nani?? Ilihali mpiga adhana wa kwanza kabisaa Bilal bin labaah hakuwa na vitisho kwenye adhana?? A
Adhana ni ukumbusho wa kwenda kumwabudu allah na siyo kutisha watu.
Andika jina la Mwenyezi Mungu kwa herufi kubwa.Hawa wanaiga mfano wa nani?? Ilihali mpiga adhana wa kwanza kabisaa Bilal bin labaah hakuwa na vitisho kwenye adhana?? A
Adhana ni ukumbusho wa kwenda kumwabudu allah na siyo kutisha watu.
Ahsante kwa masahihisho mkuuAndika jina la Mwenyezi Mungu kwa herufi kubwa.
Kwa mengine una point chief.
Yaani ijumaa unaenda kusomwa kwenye hotba na mafumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiombe mkae jirani na muadhini aisee na awe smekuona janayake umesimama na mshkaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Yaani ilo ni lazima sometimes hata adhana ya asubuhi unaweza ukasikia fumbo lako😀😀Yaani ijumaa unaenda kusomwa kwenye hotba na mafumbo[emoji23][emoji23][emoji23]
MwamposaMda huo unapewa cha asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23], na unasikia habari za kitanda chako ndio kaburi lako[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufa ni lazima.
Lifia dini af limejaa matusi! Hivi ndivyo mudi anavyowafundisha?Wanakupigia makelele uKiwa unasikilizia ,.....b .oo ya matta core
Mkuu Pole.. kama inatisha tisha hiyoo.Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Q: "Swali kabla hujaswaliwa" EOQ.Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Lifia dini af limejaa matusi! Hivi ndivyo mudi anavyowafundisha?