Vitisho vya Azana

Vitisho vya Azana

Mm ni Muislamu ila kuhusu haya maneno watu tu wamezusha ila kwenye uhalisia wa dini hayapo na ukiangalia wengi wanofanya hivi ni wale wazee halafu ni wabishi hatarii huna la kuwaambia mara utaishia kupigwa kipapai tu

Iliyojuzu kwenye Uislamu kutoka kwenye mafundisho Sahihi ya Mtume wetu kipenzi ni Ile Adhana tu hayo mengine ni mambo za watu tu
Hehehehe nimecheka sana eti utaishia kupigwa kipapai...kwaiyo unaona cha kufia nin Bora uwaache tu
 
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Hiyo sio adhana bali ni kelele tu adhana maneno yake ni machache sana ayachukui zaidi ya dakika 5 kama vipi nenda serikali za mitaa,lakini ukumbuke na vilio vya warokole usiku kucha majirani hawalali
 
Hehehehe nimecheka sana eti utaishia kupigwa kipapai...kwaiyo unaona cha kufia nin Bora uwaache tu
Hhhhhhhh hao wazee achana nao kabisaaa Mungu akijaalia kuwaongoza atawaongoza tu
 
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
HAYA MANENO HUWA SI MAZURI. MTU MUITE MUELEKEZE UZURI WA SALA SIYO KUANZA KUMTISHA NA MANENO MAKALI N.K
 
Hivi vitu vilikuwepo toka enzi na enzi na watu walijifunza kuishi navyo.

Na hawadanganyi ibada ni bora kuliko usingizi.
Hawa wanaiga mfano wa nani?? Ilihali mpiga adhana wa kwanza kabisaa Bilal bin labaah hakuwa na vitisho kwenye adhana?? A
Adhana ni ukumbusho wa kwenda kumwabudu allah na siyo kutisha watu.
 
Nje ya mada, ndani ya mada
Kuna mzee Lindi municipal kazi yake ni kuadhini. Ukimwahi akakuta umeshaanza kuadhini atakasirika na swala ya mda huo ataisusia.
Hao ndo wazee ninowazungumzia yani usikute anaweza akaadhini tena yeye na usikute wengine feni haliwashwi bila ya Amri yake ohoooooo

Kaa nao mbali wazee kama hao
 
Hawa wanaiga mfano wa nani?? Ilihali mpiga adhana wa kwanza kabisaa Bilal bin labaah hakuwa na vitisho kwenye adhana?? A
Adhana ni ukumbusho wa kwenda kumwabudu allah na siyo kutisha watu.
Kiuhalisia wanakosea sanaa mana si katika mafundisho ya Uislamu
 
Moja ya mambo hayapo kaika dini ya uslami ni hilo la adhana ya kuongeze maneno kama hayo, ila limeongezwa kana kwamba ninjia ya kuwakumbusha watu ila kisheria yafaa kuitwa BIDAA.

Tena Adhana yatakiwa semwa kwakifupi sio kuivutaaa kama vile ina urembo.
Haya niliyapataga katika kipindi naishi katika imani.

Pia ki ustarabu tuu Adhana ikishaita hakuna haja tena swala kusikika kwa maspika kwa nje wakati Swala ni kwaaajili ya walifika msikitini
 
Hawa wanaiga mfano wa nani?? Ilihali mpiga adhana wa kwanza kabisaa Bilal bin labaah hakuwa na vitisho kwenye adhana?? A
Adhana ni ukumbusho wa kwenda kumwabudu allah na siyo kutisha watu.
Andika jina la Mwenyezi Mungu kwa herufi kubwa.

Kwa mengine una point chief.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiombe mkae jirani na muadhini aisee na awe smekuona janayake umesimama na mshkaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ijumaa unaenda kusomwa kwenye hotba na mafumbo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂Yaani ilo ni lazima sometimes hata adhana ya asubuhi unaweza ukasikia fumbo lako😀😀
 
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Mkuu Pole.. kama inatisha tisha hiyoo.
 
Q: "Swali kabla hujaswaliwa" EOQ.
 
Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    Screenshot_20231003-230402.png
    52.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom