samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Uko sahihi kabisa mwl na wizi wa kura wapi na wapi! Licha kwamba mwl anaangushiwa jumba bovu la kwamba anafanya jambo hilo wakati wala labda wanaotoa tuhuma hizo waseme huyo mtuhumiwa anafanya unyambilisi huo akiwa msimamizi katika level gani?Mwalimu hawezi kuiba kura na kura haziwezi kuibiwa kwenye kituo cha kupigia kura maana kule ndani kuna mawakala wa vyama vyote. Michezo hiyo hufanyika kata na wilayani wakati wa kujumlisha ambapo mwalimu hahusiki
Wengi wanalaumu tu lakini hawajui taratibu za uchaguzi zilivyo.Uko sahihi kabisa mwl na wizi wa kura wapi na wapi!Licha kwamba mwl anaangushiwa jumba bovu la kwamba anafanya jambo hilo wakati wala labda wanaotoa tuhuma hizo waseme huyo mtuhumiwa anafanya unyambilisi huo akiwa msimamizi katika level gani?
CWT Wanajinywea Milkshake Kwa Walimu WoteCWT ni wezi tu kama ilivyo kwa mama yao CCM.
YesOfisini kwake Dodoma?
Mimi nilijitoa sasa ni miaka minne sina uchangiaji CWT, nachangia bima ya afya, nakatwa kodi na vitu vingine lakini CWT zero.Ofisini kwake Dodoma?
Fomu namba 15?Mimi nilijitoa sasa ni miaka minne sina uchangiaji CWT, nachangia bima ya afya, nakatwa kodi na vitu vingine lakini CWT zero.
Sio walimu tu watanzania sote.SIO LAZIMA, Lakini si unawajua Waalimu wa Tanzania walivyo, hawaandamani kupinga makato au hata kuhoji kwanini Wanakatwa
Wapowapo tu.
Yaani faida wanayopata ni T-shirt tu.
HahahaaaaaaaaaWalim uoga umezidi ukitaka kuamini we siku moja vaa vizuri piga suti chukua na jamaa yako mmoja apige mkanda nje alaf nenda shule yoyote unaweza kupiga mkwara kwanzia headmaster had staff yote na wakakaa kimya bila kuuliza we ni nani maana wananidham ya uoga
Kila mmoja huko pemben atakua tu anauliza huyu atakua ni nani!? Kila mmoja anajijibu kwa hisia zake ila kukuuliza hakuna atakae jaribu.
Wewe una fanya kazi gani? Tuanzie hapo kwanzaNdugu yangu wewe inaonekana huwajui walimu wa Tanzania. Ni watu waoga kuliko kiumbe chochote kilichoumbwa na Mungu juu ya uso wa dunia hii. Wanatishwa kama watoto,huburuzwa,hufokewa mpaka na watu wa masjala kiufupi kuwa mwalimu Tanzania ni janga.
Hebu acha kudanganya watu hakuna maboresho yeyote yaliyo fanywa na serikali kwa watumishi wa umma kwa sababu ya pressure ya chama chochote cha wafanyakazi, bali maboresho yeyote yanayo fanywa na serikali kwa watumishi wa umma ni kutokana na mipango na matakwa ya serikali yenyewe.Kuna vitu ambavyo walimu wanatakiwa waamshwe usingizini.
Yani chama kiitwe chakuhawata alafu kiwe chama kabisa cha kutetea walimu kweli!!!? Walimu wapewe elimu ya vyama vya wafanyakazi, waambiwe kuwa vyama vya wafanyakazi ni zaidi ya hizo fedha zao wanazokatwa kwenye mishahara yao.
Ukitaka kujua nguvu ya vyama vya wafanyakazi pata shida kazini. Hivi vitoto vinavyoanza kazi juzi hawawezi kujua haya mambo.
Pole mwalimu badilikeni mkipewa viposho vya wlfu kumi mnasahau shida zenu Sasa mnakuja kulialia.Hao walimu unaowatuhumu kwamba wanashirikiana na misisiyemu kuiba kura si kweli kwani hawana mandate hiyo hata kidogo na access ya kufanya hivyo hayo mambo hayawezi kufanyika ngazi ya chini hasa kwenye polling station .so try to rethink your allegations are not valid
Hivi kuna Mwalimu yeyote anayejiunga rasmi na CWT? anajaza form ipi ya kujiunga? Anajiungaje?Kujiunga na chama cha wafanyakazi siyo lazima.
Ila kukatwa makato Ni LAZIMA hata ukwepe vipi.
Sheria inavitaka vyama vya wafanyakazi kukata Kuna kitu wanaita ADA YA UWAKALA, na hii Ni kwa Watumishi wote ambao siyo wanachama ila wanafanya kazi sehemu ambayo theluthi ya Watumishi Ni wanachama.
Kwahiyo vyama vya wafanyakazi huwa vinatumia huo mwanya kukata 2% ya mtumishi yeyote awe Mwanachama au asiwe Mwanachama.
Wengine hata form ya mkataba na CWT hawajazi, wanajaza mkataba wa ajira tu [emoji23]Sio walimu tu watanzania sote.
By thr nasikia ukishakuwa mwalimu hata kabla ya kujaza fomu wanaanza kukukata tu
Ndugu yangu mimi ni mkulima.Wewe una fanya kazi gani? Tuanzie hapo kwanza