samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Uko sahihi kabisa mwl na wizi wa kura wapi na wapi! Licha kwamba mwl anaangushiwa jumba bovu la kwamba anafanya jambo hilo wakati wala labda wanaotoa tuhuma hizo waseme huyo mtuhumiwa anafanya unyambilisi huo akiwa msimamizi katika level gani?Mwalimu hawezi kuiba kura na kura haziwezi kuibiwa kwenye kituo cha kupigia kura maana kule ndani kuna mawakala wa vyama vyote. Michezo hiyo hufanyika kata na wilayani wakati wa kujumlisha ambapo mwalimu hahusiki