Soma hapo just, nimeshatoa maelezo.Hivi kuna Mwalimu yeyote anayejiunga rasmi na CWT? anajaza form ipi ya kujiunga? Anajiungaje?
Waalimu wanaungwa automatically BILA RIDHAA yao na hawashirikishwi.
Unakuaje Mwanachama wa chama flani pasipo kujiunga kwa ridhaa?
Kujiunga na chama cha wafanyakazi siyo lazima.
Ila kukatwa makato Ni LAZIMA hata ukwepe vipi.
Sheria inavitaka vyama vya wafanyakazi kukata Kuna kitu wanaita ADA YA UWAKALA, na hii Ni kwa Watumishi wote ambao siyo wanachama ila wanafanya kazi sehemu ambayo theluthi ya Watumishi Ni wanachama.
Kwahiyo vyama vya wafanyakazi huwa vinatumia huo mwanya kukata 2% ya mtumishi yeyote awe Mwanachama au asiwe Mwanachama.
Huna akilisio kweli.
Huwezi kukatwa makato kama sio mwanachama.
Halafu nenda kasome vizuri hilo suala la agency fee naona umejichanganya.
Unaposema mtumishi yeyote anakatwa hiyo hela nayo si kweli mfano mimi sikatwi na wala sio mwanachama wa chama cha wafanyakazi kutokana na cheo changu ofisini (senior mgt position),
Mahakimu na majaji ni watunishi ila hawapo kwenye chama chochote na hawakatwi hela yeyote
Umeongea vitu ambavyo huvifahamu vizuri ndugu.
By Guru in HR
Huna akili
Makato ya kila mwezi , mwishowe mnaambulia t shirt Mei mosi.Wewe ndio hujui unachokiongea, haya hebu niambie TUGHE wanaibiwaje na viongozi wake kama ilivyo CWT cha Waalimu?
Umeshawahi kusoma Sheria ya ajira na mahusiano kazini?inaonekana unakaliaga sana endelea na ufala wako ila nakushauri acha kukomenti uongo kama kitu hukifahamu kheri ukae kimya
Utakuta na wewe ni katibu wa CWT
Kitu usichojua ni kuwa maDED na maafisa watumishi wote wanapata mgao wao kutokana na makato ya walimu.Kwani lazima walimu muwe kwenye hicho chama? Usipokuwa kwenye hicho chama nini kinatokea?? Maana naona kama wawakata Hela tu bila sababu za msingi, sioni kinapowatetea zaidi ya kutetea matumbo yao tu
Mgao utakuwepo Sana. Otherwise hawapiganii maslahi ya walimu bali, wakubwa wao!Kitu usichojua ni kuwa maDED na maafisa watumishi wote wanapata mgao wao kutokana na makato ya walimu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mwalimu mwezi wa 3 mwaka jana alijitoa CWT akajiunga na chama kingine.
Jamaa alipewa vitisho sana lakini alikomaa mwezi wa 7 mwaka jana kwenye salary slip alikuta makato ya vyama viwili yaani kile kipya alichojiunga kwa hiyari yake pamoja na makato ya CWT.
Jamaa akaamua kukomaa hivyo hivyo lakini mwisho wa siku mwezi wa 10 kakuta makato ya chama kipya alichojiunga kwa hiyari yameondolewa yamebaki ya CWT.
Watu wengi wanaweka bweka mitandaoni kwasababu hawajui.Kitu usichojua ni kuwa maDED na maafisa watumishi wote wanapata mgao wao kutokana na makato ya walimu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mwalimu mwezi wa 3 mwaka jana alijitoa CWT akajiunga na chama kingine.
Jamaa alipewa vitisho sana lakini alikomaa mwezi wa 7 mwaka jana kwenye salary slip alikuta makato ya vyama viwili yaani kile kipya alichojiunga kwa hiyari yake pamoja na makato ya CWT.
Jamaa akaamua kukomaa hivyo hivyo lakini mwisho wa siku mwezi wa 10 kakuta makato ya chama kipya alichojiunga kwa hiyari yameondolewa yamebaki ya CWT.
Hatuingii wanatuingiza kilazimaHuo ujinga wao Sasa mtu unaingiaje kwenye chama hauna maslah nacho
Kujitoa si mnaweza ?Hatuingii wanatuingiza kilazima
Unajitoa ila wanaendelea kukukataKujitoa si mnaweza ?
Utajitoaje kwanza wakati wewe siyo Mwanachama?Kujitoa si mnaweza ?
Aisee huu si unyonyaji lakini hapo juu kuna jamaa amesema ameandika barua amefuatilia hawamkati kabisa hivi hii imekaaje ?Unajitoa ila wanaendelea kukukata
Na vitisho juuUtajitoaje kwanza wakati wewe siyo Mwanachama?
Maana yake utakatwa na huwezi kupata huduma kutoka kwao kwasababu wewe siyo Mwanachama.
Unachokatwa utaambiwa Ni ADA YA UWAKALA ambayo ipo kisheria.
Tena ukikuta DHRO Ni mwakilishi au mnufaika wa chama cha wafanyakazi, utaandika BARUA 500 na hakuna mtu ATAKUTOA.
Happ huwa inategemea na nguvu na uelewa wa DED.Aisee huu si unyonyaji lakini hapo juu kuna jamaa amesema ameandika barua amefuatilia hawamkati kabisa hivi hii imekaaje ?
Pamoja na vyama vyote kua ovyo ila kada ya ualimu chini ya hicho chama chao ndio kada ya kinyonge kuliko kada zote nchi hii.Hujui unachoongea.
Vyama vyote vya wafanyakazi Tanzania vinafanana. Na wote Nia yao ni moja.
Watumishi hawana pa kusemea maana waandaaji wa MEI MOSI ndio hao hao Wanyonyaji.
Hakuna chama Chenye uwezo wa KUIVIMBIA serikali.Pamoja na vyama vyote kua ovyo ila kada ya ualimu chini ya hicho chama chao ndio kada ya kinyonge kuliko kada zote nchi hii.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app