Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Soma hapo just, nimeshatoa maelezo.Hivi kuna Mwalimu yeyote anayejiunga rasmi na CWT? anajaza form ipi ya kujiunga? Anajiungaje?
Waalimu wanaungwa automatically BILA RIDHAA yao na hawashirikishwi.
Unakuaje Mwanachama wa chama flani pasipo kujiunga kwa ridhaa?
Na hii siyo kwa walimu tu, Ni vyama vyote vya wafanyakazi