Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭

Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.

Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.

Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.

Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.

Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.

Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?

Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.Leo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.

Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.

Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?

Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Jirizishe... mimi hiyo hali ilinipata...kuna kijanA msongo ndio akawa amekua selected F5 PCB mdogo wangu.. nikamshirikishA... tukajadili... tukapata majibu kuwa sio Vinyoka bali ni Earth Worms... Earth worms wanafanana sana Na VinyokA... jaribu kuchunguzA vizuri...
 
Daah mkuu si ungekitandika kwa ndala hicho kinyoka kisha ukakimbia sasa umekiacha utafahamu aje kilipoelekea.

Kama una pesa kesho ita watu wa usafi,tafuta hizi kampuni wanapulizia hadi dawa watakusafishia nyumba nzima
I wish ningeweza ila nimepata panick.

Kesho fummigation inabid ihusike. kwakeliNafikiria kama kuna anti venom vaccination ningechoma pia.
 
Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭

Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.

Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.

Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.

Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.

Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.

Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?

Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.Leo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.

Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.

Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?

Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Fanya usafi hyo nyumba yote na makorokoro yatoe yote.
Ingekua mim ningeendaa kulala nje na mlinzi
 
Punguza vitu vilivyojazana huko ndani kwako, si ajabu unaisha na wadudu wengi bila kufahamu, kama kweli huko ndani kuna nyoka basi na vyakula vyake vipo humk humo...

Mpangilio wa nyumba ni kitu cha muhimu sana , inashangaza unahisi yupo uvunguni, si ajabu hadi uvunguni wa kitanda chako kumejaa makoro koro....
Nyumba ina mpangilio mkuu ila ni vitu tu vya ndan kama makoch na makabati.
Mvungun hakuna kitu ila ni kitanda kisichoonesha uvungu.
 
Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.[emoji24]

Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.

Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.

Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.

Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani[emoji24].

Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani[emoji24].Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.

Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?

Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.Leo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.

Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.

Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?

Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Ni Dm namba yako nije nikusaidie, mimi ni nyoka expert from Snake in the city program ya bondeni kwa late madiba
 
Mimi nikuoe niwe naua vinyoka tu basi. Okay chakufanya mwaga oil chafu au diesel Kila eneo Kwa masaa 36 watahama wenyewe. Sio umwage kama maji, unamwaga kwakuchora mistari mistari.

Vile vile nyoka huwa wanatembea wawili wawili, ukimuua mkubwa ndani ya kipindi Fulani atakuja mwingine kumtafuta mwenzake. Nyoka mdogo wa mwanzo mlimtupaje? Ilitakiwa aburuzwe kuzunguka nyumba na kuelekea eneo la pori na kumzika huko Ili akija mwenzake atazunguka na mwisho ataishia porini huko.

Hako katoto nistue kesho
Nioe tu ila nyoka wakiisha si tunaweza kuachana na kurudiana wakirud tena?

Huyo mdogo sijui alitupwaje
 
Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭

Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.

Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.

Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.

Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.

Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.

Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?

Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.Leo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.

Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.

Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?

Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
We ke au me kwanza
 
tafuta spray ya rungu, waliingiyaga nyumba jirani tulifanya ivyo tuka spray then unafanya usafi unawakuta wamechoka na kufa wengine coz ya iyo harufu afu unafanya usafi over
N.B, kwa scenario hiyo tafuta rungu hata tatu spray zote yaani hata kama awajafa wanakuwa awananguvu tena unawapiga tu unakuwa umemaliza, pole sana madam. ungekuwa jirani yangu ningekuja nikusahidie
Asante kwa ushaur
 
Back
Top Bottom