Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Sawa mkuu nime edit post yangu.Tu stick na nyoka mkuu.
No hiden agenda ila honestly nilitaman kuwe na dume humu adeal na hii situation.

Sawa mkuu nime edit post yangu.Tu stick na nyoka mkuu.
No hiden agenda ila honestly nilitaman kuwe na dume humu adeal na hii situation.
Una shida gani huja pata mpaka sasa
 
Wacha kumtegemea Yesu. Weka mafuta ya taa, hakikisha una dawa ya anti venom karibu ukiumwa na nyoka, hakikisha una mabaka ya mkorosho karibu yanasaidia ukiumwa unayanyonya yaliyolowekwa katika maji.

Hakikisha unakata machaka kuzunguka nyumba yako.
Sitaacha kumtegemea Yesu ila asante sana kwa ushauri na somo.
 
Jirizishe... mimi hiyo hali ilinipata...kuna kijanA msongo ndio akawa amekua selected F5 PCB mdogo wangu.. nikamshirikishA... tukajadili... tukapata majibu kuwa sio Vinyoka bali ni Earth Worms... Earth worms wanafanana sana Na VinyokA... jaribu kuchunguzA vizuri...
Naombea uwe sahihi mkuu.
Ila vinajinyonga nyonga kama nyoka na kana kichwa kama.nyoka na ngozi inang'ara kama nyoka
 
Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭

Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.

Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.

Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.

Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.

Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.

Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?

Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.

Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.

Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?

Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Umuhimu wa kuishi na mume ndo huo hapo. Ungekuwa na jamaa usinge kuja kutupigia makelele uku. Sisi hatuna cha kukusaidia.
 
Back
Top Bottom