Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Nmekosea nilikua naquote kwingine
Namna gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna gani?
OkayNmekosea nilikua naquote kwingine
Asante.Pole sana kwa hiyo changamoto. Wape hao walinzi chakula kidogo wakusaidie kuwatafuta hao nyoka na upulize dawa (zipo).
Hongera kwa uandishi mzuri
DaahHao wazazi wake watakuwa hawatumii kondomu....haiwezekani wawe wana zaliana haraka harak hivo...hata matanga ya kitoto cha kwanza hayajaisha
Thanks dear.Dada Kuna dawa ya kuua nyoka,nenda kwenye maduka yanayouza viwatilifu utaipata.....pole Sana nakuelewa unavyojisikia
Sawa mkuu nime edit post yangu.Tu stick na nyoka mkuu.Hii post usome vizuri ina Jumbe zaidi ya tatu.
Mtoa mada ni janja Janja fc
Wengine watachangia na kutoa mawazo yao kuhusu nyoka. Mimi nitadeal na jambo jingine;Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭
Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.
Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.
Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.
Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.
Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.
Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?
Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.Leo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.
Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.
Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?
Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Wa kuwalipa mshahara si wewe uliewaajiri?Asante.
Nitapata suluhisho kesho.
Hawa walinz ni visiran sijui hawajalipwa mshahara.
Thanks sijajua uandish umetokea vizur😁
Una ishi wapi nije nikusaidieHello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭
Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.
Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.
Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.
Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.
Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.
Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?
Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.
Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.
Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?
Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Hamna dear nime edit na huyo Tiss wako hajapatia.Nimekuaminia Tiss wangu,imebidi nirudie kusoma ikabidi niseme tu hiiiiiiiiiiiiii 😄😄😄😄😄
Wacha kumtegemea Yesu. Weka mafuta ya taa, hakikisha una dawa ya anti venom karibu ukiumwa na nyoka, hakikisha una mabaka ya mkorosho karibu yanasaidia ukiumwa unayanyonya yaliyolowekwa katika maji.Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭
Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.
Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.
Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.
Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.
Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.
Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?
Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.
Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.
Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?
Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
😁😁Yaani hapo issues sio nyoka,issue Ni nyoka kupotelea huko uvunguni anaposema kumejaa
Stick na nyoka 😀Sawa mkuu nime edit post yangu.Tu stick na nyoka mkuu.
No hiden agenda ila honestly nilitaman kuwe na dume humu adeal na hii situation.
Wacha kumtegemea Yesu. Weka mafuta ya taa, hakikisha una dawa ya anti venom karibu ukiumwa na nyoka, hakikisha una mabaka ya mkorosho karibu yanasaidia ukiumwa unayanyonya yaliyolowekwa katika maji.
Hakikisha unakata machaka kuzunguka nyumba yako.
Ni kusafi ila style ya kitanda haioneshi uvungu.Pole sana aiseee...ila uvunguni ni sehemu inayotakiwa kuwa safi muda wote.
Afadhali umuoe tu anakaaje pekeyake ndani ona sasa kalala bila kujisaidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikuoe niwe naua vinyoka tu basi. Okay chakufanya mwaga oil chafu au diesel Kila eneo Kwa masaa 36 watahama wenyewe. Sio umwage kama maji, unamwaga kwakuchora mistari mistari.
Vile vile nyoka huwa wanatembea wawili wawili, ukimuua mkubwa ndani ya kipindi Fulani atakuja mwingine kumtafuta mwenzake. Nyoka mdogo wa mwanzo mlimtupaje? Ilitakiwa aburuzwe kuzunguka nyumba na kuelekea eneo la pori na kumzika huko Ili akija mwenzake atazunguka na mwisho ataishia porini huko.
Hako katoto nistue kesho
Mimi siko Dar miaka mingi mkuu, cheki pharmacies kubwa.Hivi antivenom za nyoka zinapatikana wapi hasa kwa Dar?
🤣🤣🤣🤣Pole😁😁
Jaman uvungun kwangu hakujajaa ila style ya kitanda changu hakionesh uvungu
Wanawazaga mbali kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watanzania akili zetu,