Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Mume kasafiri.
Ila hz hasira zako vipi umekula kweli?
HUYO MUME NI TOFAUT NA YULE ALIYE KUACHA MWAKA JANA OCTOBER? kulingana na huu uzi👇

Madam, nitumie location nije tulale wote uyo nyoka hatakusumbua tena sababu nina dawa inyofukuza nyoka, kila sehemu ninapopita kama kuna nyoka mita10 akisiki harufu tu anakimbia
 
Tatizo humu JF ulikokuja kuomba ushauri kumejaa Vijana lojolojo wa Dar, na wao wanaogopa nyoka.

Nakumbuka nikiwa na miaka 14 nikiwa Kwa Bibi kijijin huko Ndani ndani Bariadi siku Moja tukawa tunasikia Mbuzi analia Sanaa meeee meeeee meeeee

Mida hiyo Asubuh nilikuwepo Mimi na Mtoto mwenzangu tulikua tunaringana umri.

Aisee tukakimbilia kunakotoka sauti, kufika huyo Chatu, walalalala wosashashaa chatu huyo .

Sijui hata ilikuaje, nilijikuta nimemkamata shingo yule chatu ,huku namuambia mwenzangu ampige Kwa mpini ulikua pemben.

Yule Chatu akamuachia Mbuzi, Dogo akaendelea kutia kipondo tuu, Tulimuaa!!.
Yes mkuu.
Very nyoronyoro indeed halafu wanawaza ngono tu.

Hongera kwa kuua chatu mkuu
 
Humu utadanganywa mengi tafadhali tafuta Mafuta ( Petrol ) kisha imwagie Kuzunguka Nyumba yako yote ( na ukiweza dondoshea Matone ) ndani ya Nyumba yako au Chumbani Kwako na hao Nyoka wakiendelea kuwepo tena njoo uninyang'anye Kitambulisho changu cha Taifa na Passport yangu iliyoisha muda wake sawa?

Kila la Kheri.
Thanks mkuu
 
HUYO MUME NI TOFAUT NA YULE ALIYE KUACHA MWAKA JANA OCTOBER? kulingana na huu uzi👇

Mkuu kwanini una divert focus ya uzi wangu ?
How come nahitaji msaada wa kufukuza nyoka then badala ya kusaidiwa naulizwa mambo ya mahusian yangu?
Hebu wakuu achen hizo bana.
 
Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭

Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.

Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.

Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.

Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.

Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.

Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?

Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.

Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.

Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?

Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Wewe ni MWANAMKE au MWANAUME
 
Acha uoga kwani nyoka huwa analea watoto wake si mayai yakishaanguliwa kila kimoja kinshika njia yake na kuanza kujitegema kuanzia wakati huo hivyo hakuna uwezekano kuwa eti wazazi wa hivyo vitoto wako around unless hapo ndio makazi yao
 
Back
Top Bottom