Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂 AisehAkalale na mlinzi? Sentensi tata hii😅
Wenye dirty minds tushawaza mengjne
How come naogopa nyoka mkuu?Aise umejua kunichekesha..nimwcheka hadi machozi..how come unaogopa nyoka🥵🙌
Hii siyo muhimu muhimu nilichokiandika chini kuhusu haki ya nyoka kuishi nawe kutomuogopa.Kuwa na bathtub ingekua big deal basi nisingekua nimeamka nimefulia kama hivi nilivyofulia leo mkuu.
🤣🤣🤣🤣 kweli tumepishana kuogopa vitu .mimi chura, washawasha🙌🙌🥵🥵..nyoka hata awe mkubwa vipi napambana had namuua...wananishangaaga .ila sio chura au washawasha🙌How come naogopa nyoka mkuu?
We are talking about nyoka mkuu!NYOKA yule anatembea kwa waves!Mmmhh.
Ameuliwa nikaonyeshwa huyu hapa,nikaona amekufa ndio nikaenda kujisaidia.Na jana ndo nimejua kibofu changu kiko imara🤣
Kwa kweli Mel Gibson Ni director mzuri,huwezi choka angalia movie zake Zina hisia,angalia Ile Passion of J Christ Ni motoApocalypto haichoshi kuitazama hata uirudie mara 10 utapata msisimko uleule wa kwanza
Akishaingia kwangu itaniwia vigumu kuikumbuka haki yake.Hii siyo muhimu muhimu nilichokiandika chini kuhusu haki ya nyoka kuishi nawe kutomuogopa.
Hongera sana dear ila usije ukaleta ubabe wako kwa black mambo mkuu.🤣🤣🤣🤣 kweli tumepishana kuogopa vitu .mimi chura, washawasha🙌🙌🥵🥵..nyoka hata awe mkubwa vipi napambana had namuua...wananishangaaga .ila sio chura au washawasha🙌
Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭
Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.
Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.
Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.
Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani😭.
Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani😭.Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.
Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?
Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo au hujui kuna siku huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.?
Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.
Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?
Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Inategemea umeisoma kwa kutumia jicho ganHii mada inanichanganya kwa kweli, madam unaongelea nyoka gani huyo?
Hao wazazi wake watakuwa hawatumii kondomu....haiwezekani wawe wana zaliana haraka harak hivo...hata matanga ya kitoto cha kwanza hayajaisha
Hivi angekuwa Snake Xenzia ungelala kweli ? .Huyu ndo nyoka alosababisha nisioge jana,nisipate usingizi na nibane haja kwa zaidi ya saa 4.
Najua kuna watakaonicheka ila mi najua mtoto wa nyoka ni nyoka na kuna sehemu nilisoma kuna vitoto vya nyoka vina sumu kali kama za nyoka wakubwa.View attachment 2588817View attachment 2588817
Toto ya mjini gusa unase hahahahaaHii post usome vizuri ina Jumbe zaidi ya tatu.
Mtoa mada ni janja Janja fc
Snake Xenzia si ni nyoka tu?Hivi angekuwa Snake Xenzia ungelala kweli ? .
Ngoja nije PM mrembo nikupigie voko.
Wasipotokea nilioongea nao nitakucheki mkuuUnaweza Kuwasiliana na Mimi.
Ninapuliza Dawa maalumu ya kuangamiza na Kufukuza wadudu waharibifu Kama Vile
Popo, Mchwa, Mende, Mijusi Panya Na Nyoka. Karibu Sana Bei Nafuu Huduma ya Uhakika