KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Wasalaam. Leo naongea na wazee wenzangu, team nakataa ndoa na timu tunda kimasihara tafadhalini mtulie.
1. JIEPUSHE KUKIMBIZANA NA FASHENI ZA VIJANA
Sio kila nguo ya vijana itakupendeza. Kumbuka kipindi hiki shape yako inakuwa imebadilika sana na haifanani tena na miili na maumbo ya vijana.
Kubali matokeo anza kuvaa kama umri wako na mwili wako ulivyo.