Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 421
- 1,367
Epuka mambo ya majenzi (ujenzi)husio na manufaa kwako kisa unawaandalia watoto urithi.Kama watoto uliwapa elimu ya kutosha kuna ulazima gani wa kuwajengea nyumba tena.Acha watumie akili zao kupambana ili wakivipata wavitumue kwa umakini kuliko kuwapa.Mali uliyonayo ni yako na mke wako ili mfurahie maisha taratibu.Kumbuka watoto wako wanakuja kuwa na familia zao zitawaweka busy na kawasahau nyinyi.So ili msionekane wategemezi kwao jiandalie maisha yenu wewe na mkeo.Endelea kuwapa watoto ushauri wa namna ya kuyakabili maisha sio kuwanunulia viwanja,nyumba na magari km urithi wao.
2/Epuka migogoro au matukio yatayokupelekea kuendesha kesi mahakamani mfano migogoro ya ardhi,ugoni,utapeli,maandamano,nk.
Kesi umaliza pesa,kesi ushusha hadhi.Mawakili wapo kama chatu ni kumeza tu ni walafi wa pesa/matapeli watakufirisi.So jifunze kuishi kwa wema katikati ya jamii.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app