Vitu 15+ unavyotakiwa kuacha kununua unapotimiza miaka 50

Vitu 15+ unavyotakiwa kuacha kununua unapotimiza miaka 50

Umesahau hili kubwa mno [emoji3166]
Wanaume muepuke watoto wa uzeeni. Mwanao ana mwaka 1 na wewe 51[emoji854]
Hili nalo neno,unakuja kuwapa mizigo kaka na dada zake wamtunze maisha yake kama mtoto wao, nadhani watoto wa uzeeni sio afya,angalau ukiwa na 51 last born awe anamaliza secondary kama umechelewa sana.
Mara nyingi hii pia uletwa na mama wa kambo ambao ndo wameingia kwenye ndoa nao wanalazimisha kuzaaa ili angalau waambulie urithi kupitia mtoto.Nadhani la muhimu km mke amefariki mapema epuka kuoa kabisa.Ni heri utafute mama mkubwa ambae ana shida zake awe km housegirl umlipe mshahara akutunze kwa kukupikia,kukufulia nk kuliko kuoa. Jackline alifanikiwa kwa Mengi kwa sababu mali zipo,imagine mali hazipo na una vitoto vidogo vya darasa la kwanza wewe una 60's

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Ukifikisha umri huo Msikitini na Kanisani usikauke itafute pepo , fata amri 10 za Mungu.

Sali sana na kutubu makosa yako , saidia wenye uhitaji .
 
Back
Top Bottom