Kwani huyo mwanamke maiti mpaka ahudumiwe?Acha ubahiri brother.
Hudumia.
Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya:
1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.
Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha.
Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.
Usikariri. mke wangu aliyenizalia watoto 6, kwanza nilimkuta bikra, pili nilimkuta form four nikamsomesha hadi chuo na nikamtafutia kazi. na ni mtu wa mkoa wa mbali kabisa wala sio kabila langu.
Maumivu ni ajali isiyokuwa na formula na furaha ni zali/Bahati isiyokua na kanuni pia!Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya;
1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.
Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha. Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.
Barikiwa sanaUsikariri. mke wangu aliyenizalia watoto 6, kwanza nilimkuta bikra, pili nilimkuta form four nikamsomesha hadi chuo na nikamtafutia kazi. na ni mtu wa mkoa wa mbali kabisa wala sio kabila langu.
mkuu mna tofauti ya miaka mingapi wewe na mkeo?Usikariri. mke wangu aliyenizalia watoto 6, kwanza nilimkuta bikra, pili nilimkuta form four nikamsomesha hadi chuo na nikamtafutia kazi. na ni mtu wa mkoa wa mbali kabisa wala sio kabila langu.
Yeye Kama nimemsoma vizuri hajazungumzia mke wa ndoa.Usikariri. mke wangu aliyenizalia watoto 6, kwanza nilimkuta bikra, pili nilimkuta form four nikamsomesha hadi chuo na nikamtafutia kazi. na ni mtu wa mkoa wa mbali kabisa wala sio kabila langu.
Hii ndio point kubwa kabisa☝️Ushauri mzuri ilikuwa ni USIZINI.
Neno DEMU hutumiwa na Wahuni. Wazinifu.
Ushauri wa maana ulikuwa ni vijana Oeni muanzishe Familià.
Mke anasomeshwa
Anatafutiwa kazi