Vitu 3 ambavyo kamwe kijana hutakiwi kuvifanya

Vitu 3 ambavyo kamwe kijana hutakiwi kuvifanya

😄😄😄 Bilionea wa nyimbo!

Ukija kariakoo utanikuta kituo Cha mwendokas msimbazi B bara bara ya kuelekea msikiti wa Idris kulia, Kuna vijana wa nne wanaimbia wateja wanaochagua nguo, sasa mm Ndo yule anaeanzisha nyimbo afu wenzangu wanapokelea
😂 ndio wale mnaopiga makofi kama mashindano
 
Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya:

1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.

Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha.

Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.
Hii ajenda imepitishwa 💯
 
Usijaribu pia kumtumia nauli demu wa mkoa wa mbali. Bora umfuate wewe na si yeye akufuate. Utajuta🤣
 
Usikariri. mke wangu aliyenizalia watoto 6, kwanza nilimkuta bikra, pili nilimkuta form four nikamsomesha hadi chuo na nikamtafutia kazi na ni mtu wa mkoa wa mbali kabisa wala sio kabila langu.
Hapo ulibet na mkeka umetick ,mkeka ungeenda harijojo ungekuja na gazeti
 
Ongeza na jambo la 4 muhimu sana kijana USIOE
NDOA NI UTAPELI
 
Hapo ulibet na mkeka umetick ,mkeka ungeenda harijojo ungekuja na gazeti
kilichotusaidia nadhani ni dini, yeye ni mtu wa dini kuliko mimi na ananipenda kuliko mimi ninavyompenda, ingekuwa tofauti kama mimi ningempenda yeye kuliko yeye anavyonipenda mimi.
 
🤣🤣Eenhee! Vijana wakichoka nashika spika natembeza mashairi taka usitake utanunua kyupi hata kama ww ni wa kiume

Ni mwendo wa 🎶erfu mbiri haya haya erfu mbiri ×12🎶
😂 alafu baada ya hapo unaenda kutuma nayakutolea
 
Back
Top Bottom