Vitu 3 ambavyo kamwe kijana hutakiwi kuvifanya

Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya:

1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.

Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha.

Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.

Vyote ulivyotaja kwa ujumla you call them kuhonga mwanamke kwa namna yoyote ili upate penzi
It always ends bad
 
Maumivu ni ajali isiyokuwa na formula na furaha ni zali/Bahati isiyokua na kanuni pia!

Fanya kile nafsi inakutuma kufanya halafu expect less Ili usiwe disappointed!

Binadam ni viumbe ambavyo ni unpredictable kabisa kimaamuzi na kifikra!!

Unaweza usifanye hayo na Bado ukaumia!chamsingi omba mungu tu akuaepushe na maumivu tu!akupunguzie kwasababu hayakwepeki!!

Ukianzisha familia tarajia maumivu Toka popote!hara watoto tunaowapigania na kuwasomesha kwa uchungu na gharama wakikua wanasema "Hakuna kama Mama"kina Baba tunatengwa tangu zamani Hadi leo hayo pia no maumivu!!

Fanya unachoona sahihi,kifupi kutongoza,kuanzisha familiar,kulea familia ni kujitoa mhanga kabisa kwa mwanamme wakati wowote Bomu linalipuka!!
Ni Mungu na sio mungu.
 
Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya:

1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.

Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha.

Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.
Ni Kweli kumsaidia Mwanamke ni Hatari hilo nimelishuhudia
Mwanamke ukimsaidia akipata Dharau zinaanza, sijui akili zao hawa viumbe ziliundwa kwa material gani
 
Wanawake wameumbwa hivyo mkuu. Wapo kuhudumiwa.

Wewe kama una uwezo wahudumie, kama wewe ni kapuku basi tulia wenye nazo wawahudumie. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya:

1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.

Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha.

Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.
WANAWAKE NI MASHETANI KASORO BIKIRA MARIA...MAMA YANGU MZAZI NA MAMA YANGU MLEZI
 
Back
Top Bottom