Vitu 3 ambavyo kamwe kijana hutakiwi kuvifanya

πŸ˜‚ ndio wale mnaopiga makofi kama mashindano
 
Hii ajenda imepitishwa πŸ’―
 
Usijaribu pia kumtumia nauli demu wa mkoa wa mbali. Bora umfuate wewe na si yeye akufuate. Utajuta🀣
 
Usikariri. mke wangu aliyenizalia watoto 6, kwanza nilimkuta bikra, pili nilimkuta form four nikamsomesha hadi chuo na nikamtafutia kazi na ni mtu wa mkoa wa mbali kabisa wala sio kabila langu.
Hapo ulibet na mkeka umetick ,mkeka ungeenda harijojo ungekuja na gazeti
 
Ongeza na jambo la 4 muhimu sana kijana USIOE
NDOA NI UTAPELI
 
Hapo ulibet na mkeka umetick ,mkeka ungeenda harijojo ungekuja na gazeti
kilichotusaidia nadhani ni dini, yeye ni mtu wa dini kuliko mimi na ananipenda kuliko mimi ninavyompenda, ingekuwa tofauti kama mimi ningempenda yeye kuliko yeye anavyonipenda mimi.
 
🀣🀣Eenhee! Vijana wakichoka nashika spika natembeza mashairi taka usitake utanunua kyupi hata kama ww ni wa kiume

Ni mwendo wa 🎢erfu mbiri haya haya erfu mbiri Γ—12🎢
πŸ˜‚ alafu baada ya hapo unaenda kutuma nayakutolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…