Vitu 4 ambavyo vimekuwa overrated Duniani

Hapo kwenye Pombe umefeli sana, Yesu mwenyewe muujiza wake wa kwanza ulikua kutengeneza mvinyo tena mtaamu hatari. " Mpe masikini Mvinyo asahau shida zake" walevi 6:13; tofautisha pombe na walevi ni kama mapenzi na uzinzi haviko sawa.
 
Overateded ya kuambiwa kuwa Mbowe ni Gaidi;

Ile awamu ya 5 tuliaminishwa kuwa jamaa ni Gaidi. Kumbe baada ya Kibatala na wenzake kupambana sana na vifungu vya Sheria tumekuja kubaini kuwa ni mtu safi. Na kwa sasa ndiye anayeongoza kwa kuitwa Ikulu kupiga story za upendo na kumshauri Rais jinsi ya kudumisha umoja.
 
Kwa hapa bongo hivi vitu/hawa watu viko/wako overrated mno
Ndoa
Biashara
Ngono
Mishahara
Wasanii
Wanamichezo
Wanasiasa
Wanajeshi
 
Unasema jambo lipo overrated halafu unasema hutaki kuzungumzia ni kwa namna gani, hii ni dalili ya ugonjwa gani?

Tunafanya kwanza diagnosis ya Minyoo ya Safura,,, tutakujulisha soon...
 
kila ulichotaja ni muhimu hakuna kilicho overrated, lkn kila kitu kwa kiasi, hata oksijen nyingi kupita kiasi ni mbaya kwa afya, watu hatuna kiasi
Ebu angalia kwenye jamii inayokuzunguka jinsi walivyovipa baadhi ya vitu thamani kubwa mpaka unashangaa.
 
5 Yesu.

Hii ni moja ya concept ya kipumbavu ambayo imepewa promo!! Upuuzi mtupu.

6 Firigisi
Nyama ya kipumbavu ambayo imepewa promo
Hapo number 5 unacheza na Muumba wa Mbingu na Dunia kuwa makini!
 
We mapenzi unayajua kweli wewe!? Au mkisikia mapenzi ni boyfriend na girlfriend au unajua ni kwichi kwichi!!

Mapenzi ni uwanja mpana, hili linaendana na neno UPENDO mzee bila upendo dunia sio sehemu salama tena.. umeyafikiria mapenzi ya wazazi kwenda kwa watoto, ama watoto kwa wazazi wao, vipi upendo wa majirani, rafiki na jamaa umeufikiria pia?
Ushajaribu kufikiria ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…