Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
peleka vijizawadi hata pipi tu kwisha habari yake,km moto hujasaidiaMoto napeleka lkn ukiondoka ukienda kwenye mihangaiko ukirud bado unamkuta kanuna… yaani nimeona kupelekea moto sio solution kwn moto unawashwa every day
Mkuu unaweza shtukia tu kitu kizito kinatua kichwani au kitu chenye ncha kali,,, halafu vyombo vya habari vitatuambia " amuua mumewe kisa wivu wa mapenzi"Jifanye unachati na mtu usiku huku unajichekesha akiwa amejifanya Yuko usingizini.
Yaani mimi nataman hata nimzibue makofi ili anune vzr… vinatia hasira… akiwa sebren ukisema umfate ukianzisha vistor vya hapa na pale hasapot chochote anajifanya Mara yko bize na mtoto au vikaz kazi ambavyo havina hata maana ili mlad tu akutoroke… .duh hawaelewek… .kbs hawa viumbeDuuu wanawake sijui tunakwama wapi,,, kuna jamaa nae alikuwa anasimulia kuwa mkewe alimnunia week nzima kisa tu mwanamke alivaa nguo mpya na jamaa hakumsifia kuwa kapendeza mbaya zaidi jamaa hakujua kosa lake ni kutotambua kuwa mkewe kavaa nguo mpya.
Mwanamke anaweza kununa kwa sababu ya kitu kidogo sana na asiweze kumwambia mwenza wake ni nini tatizo , na wengi hudhani kununa ni suluhisho kumbe wanaume wanachukulia powa tu
Si aseme sasa! Mimi nafikir jinsi gani maisha yaende harafu uku wanuniwa… .hanitendei haki kwakweliDuuu wanawake sijui tunakwama wapi,,, kuna jamaa nae alikuwa anasimulia kuwa mkewe alimnunia week nzima kisa tu mwanamke alivaa nguo mpya na jamaa hakumsifia kuwa kapendeza mbaya zaidi jamaa hakujua kosa lake ni kutotambua kuwa mkewe kavaa nguo mpya.
Mwanamke anaweza kununa kwa sababu ya kitu kidogo sana na asiweze kumwambia mwenza wake ni nini tatizo , na wengi hudhani kununa ni suluhisho kumbe wanaume wanachukulia powa tu