Bro. Wewe acha tu….. Yaani tabu tu… .hata ukipeleka huo moto pori ukirud kweny mihangaiko yaani no changes… .tena unakuta hata kama kapika chakula na bado hajala atajifanya yuko bize ili mrad tu msile wote na haikuwa tabia yke
...Kwa nini anaku avoid mkuu??? au kasikia una mchepuko???lol...unahitaji kuongea nae openly, umuulize nini tatizo..?, kuwa direct and specific...Labda ukienda kazini, mwambie leo nikirudi nina mazungumzo na wewe..au mwambie tutoke nina mazungumzo na wewe, tafuta sehemu nzuri isiyo na kelele..ambayo unaona mnaweza mkaongea na kureflect kwenye muelekeo wa uhusiano wenu.....kisha mmuulize akuambie nini tatizo....mwambie siku hizi mwenendo wako siuelewi, kila nikirudi huna furaha, umenuna nini tatizo mke wangu, usionyeshe kukasirika wala kutumia lugha ya kumu accuse...lazima atafunguka kinachomfanya anune...lol
I guess tatizo lenu hamna communication, huyu kanuna, huyu hajui hafanyaje kuhusu kununa huko kwa mkewe, hivyo anauchuna na yeye, things are becoming worse everyday...
Areas ambazo unazoweza kuexplore/investigate na kuimprove;
1. Mawasiliano/communication
2.Investigate kama ana mimba, labda utakua baba soon...😀
3.sex
4.Possibility kuna mtu mwingine anavizia boma lako
5. Attention, msifie kwa mambo madogo madogo, chakula kizuri,Kapendeza, mrembo...
6. Kama ulimkosea sehemu yoyote hata kama ni jambo dogo, muombe msamaha
If all these doesnt work, then sijui ufanyeje...lol