Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

Mwanamke wa hivyo hata kwenye kufanya tendo la ndoa itakuwa hata hakufurahii sana Yani wewe Mwanaume utakuwa unatimiza. Wajibu wako tu Kwa kimparamia na kumaliza basi.
 
Unawakuta mume na mkewe wapo mahala lakini ukiwatazama Ni kama mtu na dada/kaka yake! [emoji848][emoji848]

Hawakai mkao wa kimahaba baina yao!

Yani ni wakavu na u-serious kama wote!

Ni kweli kwamba sometimes majukumu yanakuwa mengi na kuchukua nafasi kubwa lakini ikimbieni kilichowaleta pamoja hapo awali ilikuwa upendo (ingawa huenda sio Kwa ndoa zote).
 
Economic climate or weather kwenye familia
 
Kishetani Hilo kimke chako.Yaani Mimi hata mwanaume afanye Nini sinuni Maana napenda kuchakatwa.Mimi nitampa mapande yake,halafu usiku viuno vikutane
 
Mtu mwenye tabia ya kununanuna huwa si mkarimu Kwa mumewe, wageni, ndugu na majirani.

Ukinuna unajiweka mbali na watu.

Hata kwenye biashara ukiwa mtu wa kununanuna na visirani na majibu ya mkato kwa wateja baada ya muda watakukimbia utasema umerogwa kumbe umekosa nyama ya ulimi [emoji108]
 
Kwenye ofisi za wazungu huwa wana observe wakiona unapokea wageni/wateja unawahudumia bila sura ya tabasamu wanakuonya. Ukiendelea wanakutoa usikutane na wateja ana Kwa ana wanaona utaharibu good image ya ofisi yao.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenichekesha sana hapo kwenye kukaza mifuniko ya chupa na vingine.
 

Nishapata mbinu

Kelsea utaona[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

Good
 
We bwana sisi tunaweza kununa Tu hata kama kuna siku tuliona umeangalia taarifa ya habar sana na aliyekuwa anatangaza ni mwanamke.
TUNANUNA!
Sasa hapo sio shida, shida ni pale usipouliza kwanini tumenuna na hatukwambii na ukajifanya kuendelea na issue zako.
Na kesho yake ukaenda kazini!
na ukarudi ukala ukaomba na mzigo.
Kosa linazidi hapo.
Siku ukienda kwenye mpira ukaja unafurahia Liverpool kukosa ubingwa sisi tuazidi kununa kosa linaongezeka!
Hao ndo sisi.
 
Anaweza kukuchekesha usipocheka basi anakununia mkuu akinuna wala usianvaike naye chukua simu yako cheka nayo mwenyewe atajirudisha
 
Ahahaaaa!!! Haya na wa Kigoma tufanyeje mkuu

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Kisababishi namba moja ni kudaiwa kwenye vikundi vyao huko.

Wanakuwa na vikundi wanakopeshana na kuwekeana utaratibu wa kuchangishana kwa wiki kwa utaratibu maalumu. Unaweza kuta kila wiki anatakiwa kupeleka kwenye vikundi vyao 100,000.

Akikosa anavurugwa anabakia amenuna maana anahisi wewe unatakiwa kumpatia pesa ya kulipa sasa usipomsaidia au kumuuliza anakununia ili umtatulie shida yake ama usipofanya hivyo anakuona kama huna msaada au adui yake.

Usipokuwa mkali na hawa viumbe hutaweza kufocus na kufanya maisha ya ratiba zako distraction ni nyingi usipowachek.
 
Kabisa. Na hii inatokana na malezi na makuzi ya watoto wakike. Hawakuzwi kucommunicate feelings zao so wanashindwa namna nzuri ya kujiexpress.

Kununa huwa ni expression ya kijinga sana. Kununa inamfanya mwanaume apunguze ukaribu na wewe, inamtoa katika mood ya kuvutiwa na wewe hata kutaka kukugusa.

Inamfanya mwanaume ajione ana dosari ila sababu ya ufahari inabidi akaushe maana anajua utasema kama kuna tatizo.

Ukimkera zaidi ataona bora akatafute goma jingine nje.
 
Dawa ni kuwapuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…