Vitu gani kwa wanaume uongeza wingi wa manii

Appoh umeamua kuja kwa Id nyingine baada ya Watu kukushitukia kuwa wewe ni tapeli, ukivikusanya vi elfu ishirini ishirini kwa Watu watano tayari una laki moja kweli mjini akili tu, eti zoezi la siku moja tu upone kweli wajinga ndio waliwao
 
Kwa wanaume km unataka mfumo wako wote wa uzazi uwe na nguvu, kula vyakula vya asili visivyokaangwa. Kula matunda kwa wingi, kula mayai ya kuchemshwa, mboga zako ziwe za kuchemshwa. Epuka vinywaji na vyakula vya viwandani. Unapofika sokoni usinunue mboga zinavutia machoni kwasababu zimekuzwa kwa madawa ambayo ndizo zilizomaliza wanaume wengi.
 
Appoh umeamua kuja kwa Id nyingine baada ya Watu kukushitukia kuwa wewe ni tapeli, ukivikusanya vi elfu ishirini ishirini kwa Watu watano tayari una laki moja kweli mjini akili tu, eti zoezi la siku moja tu upone kweli wajinga ndio waliwao
account yangu ilifungiwa baada ya kufungua uzi ambao mod waliona kama ni tangazo la biashara unasrma mimi ni tapeli sawa tunanye jambo moja niambie nan nimemtapeli na ni shi ngap na ni lini hii ni kashfa na ukishindwa kutoa huo ushaid nimescreen shot ntaifikisha kwa mod itabid unisafishe kwa madai ya kunichafua la sivyo nafikisha kwa mod ili iwe fundisho aya niambie nani nilimtapeli na ni sh ngap aya semaa usipotee hewan
 
Km hata pombe ingekuwa inaongeza manii bas ningeua mtoto wa mtu.
 
Appoh umeamua kuja kwa Id nyingine baada ya Watu kukushitukia kuwa wewe ni tapeli, ukivikusanya vi elfu ishirini ishirini kwa Watu watano tayari una laki moja kweli mjini akili tu, eti zoezi la siku moja tu upone kweli wajinga ndio waliwao
nadhan elimu yako ni ndogo ndio maana unashindwa kuelewa uume kusimama ni matokeo ya body tissue kufanya kaz kwa misuli na neva hupelekea msukumo sahihi wa damu eti unashangaa siki moja yenye masaa 24 kupata nafuu je wale wanaotumia viagra na kuona uume mgumu ndan ya sekunde je unajua nini kimefanya hivyo ni msukumo wa damu yaan viagra haikutibu inaenda kusumuka damu yangu mimi inasafisha mirija na mishipa ukubwa wa tatizo unaweza ukatumia hata mwez ndio ukapona
 
Appoh umeamua kuja kwa Id nyingine baada ya Watu kukushitukia kuwa wewe ni tapeli, ukivikusanya vi elfu ishirini ishirini kwa Watu watano tayari una laki moja kweli mjini akili tu, eti zoezi la siku moja tu upone kweli wajinga ndio waliwao
umekimbia online umelog out sasa hivi njoo hapa naomba utoe ushaid nani nilimtapeli na ni shiling ngap la sivyo tuhuma nizipeleke kwa mod chukuliww hatua za uzushi
 
Kwanini hiyo formula usiitoe hapa km wadau wengine wanavyofanya ili kusaidia wengine
siwez kutoa hapa bure labda wewe ununue na uitoe bure kwa sababu zifuatazo

kwanza mimi ndio mgunduz i want to keep my legacy

pili ni utafit uliochukua miaka kumi

tatu nililipa watu ili watumike kama sample ya utafit

nne nililipa wasichana kama kumi na chumba changu kilitumika kupima maendeleo ya watafitiwa

tano hii ni kaz yangu nina ofis na nslipa kod
 
Haya Dr nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…